Why did I get Married? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why did I get Married?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Dec 1, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hey wenye jamvi, natumaini wote mu wazima!

  Je unakumbuka ni sababu zipi zilikufanya uoane na mwenzi wako?

  Ninaomba tujadili hili sababu kuu zilizokufanya uoane na mwenzi wako. Lengo la hii thread ni kutaka kujua zaidi juu ya sababu zile za ziada (wengi tumekuwa tukisimplify kwa sababu ya love peke yake) But ninaamini yapo mengi ambayo pengine yatasaidia hata wale ambao hawajaoa/olewa so that not to be blinded by love like it happed to some of us.

  Kusema ukweli mimi nilikuwa deceived kwa yale malavidavi nlokuwa nalambishwa kiasi kwamba nilisahau kuangalia other aspects ambazo well zimenicost leo hii.

  Please
  _ Unadhani ni nini kilikufanya uoane na mwenzio/uamue kumuoa/ukubali kuolewa na mwenzi uliye naye?
  _ Je unafikiri sababu hiyo iliyopelekea wewe kumuoa/olewa naye bado ipo hata baada ya maisha ya ndoa?
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  FL1,Nguli,Xpin, Geoff,Kaizer,Carmel ,Nyamayao,Bht( au bado upoupo)and others please come on and give us your experiences.Mie nita-wind up na kutoa mwisho.
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kupigana kipumb* kila unapohitaji ipo karibu raha kweli
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh kibweka so wewe ilikuwa ni kwa ajili ya access tu ok. kilichokuchanganya juu ya hilo ni ujuzi wake au ile kuwa karibu tu ilitosha?
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ZD unakimbia majukumu au we ndo wale ambao Butterflies wa tumboni walikuwa wakikucheza kila ukimwona au kuwa naye then alivyokutamkia tu ukaona yes ndo mwenyewe?- Inaruhusiwa lakini kwa sababu haijalishi umeingiaje bali how do you make it last and getting stronger each and every day
   
 6. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hebu na wewe tuambie hizi other aspects unazodhani ni muhimu ni zipi ambazo hukuzingatia?
   
 7. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  1.Malovedove
  2.Umri
  3.Loneliness
  4.Pressure from outside!
   
 8. K

  Kayanda Member

  #8
  Dec 1, 2009
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujaoa hujakamilika. Mbali na hayo maraha yote ya kitandani, uelewano, kuwa na mtu wa kushea mazuri na mabaya, na on top kujenga family yaani watoto.
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Sikimbii majukumu my dear,sometimes its better to sit down and learn.Nina maana yangu pia kukaa kimya katika hili.Siku nyingine nitakwambia.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mapenzi ndiyo chanzo cha yote.

  But this lady was available to me whenever i needed her!
  Haya mengine ni matokeo, ambayo kila mtu anahitaji kutoa sacrifice ILI KUENDANA NA MWINGINE.

  sI WEWE TU ULIYE'COSTIWA, almost kila mtu ana'undergo maumivu kiasi ili kutengeneza kitu kipya kinachoitwa familia!
   
 11. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Nawashauri wote muangalie hii muvi inaitwa WHY DID I GET MARRIED?
   
 12. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Please explain kwenye red,yani ulikuwa unaona miaka inaenda,kama hutamind itaje wakati unaoa/olewa ilikuwa mingapi.
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  MJ1 mwanzo sikuwa kabisa na ndoto za kuolewa maana nilikuwa kila nikiangalia marafiki walio kwenye ndoa asiliamia 80 walionizunguka walikuwa kama kosovo na chenchinia ukiingia kazini migogoro ya ndoa ukienda makanisani migogoro ya ndoa ...
  kumbi za starehe ndo usisime wanatoka wamshikana mikoni kumbe moyoni hakuna mapenzi mwenzio kama lipo limepangwa lipo tu ...
  akatokea jamaa alinichanganya kwanza upendo wa dhati sifa nilizokuwa nataka mwenzi wangu awe nazo alikuwa nazo hata kama si kwa 100% miaka ikaenda mala ikarudi nikapata ka ujauzito ambako kaliniongezea mapenzi tele kwa baba yake na kujikuta nasema yes mbele ya mashahidi

  kumbe nilitest tundi before marriage
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Nikikumbuka kufua nguo, kutandika kitanda, kupika, kuosha vyombo, kupiga pasi,kushusha neti, kupiga pasi na usumbufu wa kusarandia vi-twiga stars. Nikichanganya na hamu ya kuitwa dady na kabinti kangu, na hamu ya kukaa karibu na mrembo 24 hrs. Ofkozi na ka umri kukimbiakimbia kwa kasi, nikajikuta sina jinsi. Nikaingia kundini kwa nguvu zote.
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ah unanirudishia makombora haya mama as you wish, kwangu mimi kikubwa kilichonicost ni ile kuwa na uhakika na mtu- yaani reliability yake hasa kwenye matukio ambayo ni muhimu awepo mfano- nikiumwa au nikiuguliwa/fiwa n.k alikuwa ananipeleka kabisa hospital au msibani then ananiambia nikimaliza nimwambie aje anichukue mie si nikawa nasoma mapenzi tu hapo kuwa hataki mtoto nipigwe na jua kumbe ndo anashy away from being really responsible sasa ndani ya ndoa asipokusaidia kupeleka mtoto hospital usiku na badala yake akakuagizia tax utalalamika kweli?
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Hahaha! LOL! Mchumba unasepa? Weka vitu hadharani bana. Mi sitajali.
   
 17. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli ilikua inakimbia kinoma......wakati huo ilikua kwenye 32!!
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  heheeeeee speechless
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  hahahaha binamu umenichekesha kumbe ulikuwa huna tu jinsi lakini ingekuwa amri ungeendelea kuwa bachela mzoefu
   
 20. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ulinikatadha nisiongee mambo ya ndani!.Leo nataka kujifunza mchumba,si unajua ndoa yetu inakaribia? au hutaki nijue ukweli wa ndoa? unaogopa kibuti?
   
Loading...