Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Habari wakuu,
Mimi ninachokijua mwanamke ametanguliza hisia mbele na mwanaume ametanguliza akili mbele.
Sasahivi ni kitu gani nyie wanawake mfanyiwe ili uone unapendwa kwa dhati nje na maneno mengi kipi zaidi ambacho mkifanyiwa huonyesha upendo wa dhati.