WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,425
Reaction score
4,771
Kumekuwa na haka katabia ka wake za watu kuwa katika groups za WhatsApp. Group hizi hujitambulisha kama za wanafunzi wa zamani, mapishi, kufundana, maombi, 'vikoba' n.k. Baadhi ya makundi yana viingilio hadi 50,000/= huku administrator akiwa kama kungwi.

Wanawake wamekuwa wakifunguka namna ya kuridhisha mabwana zao na pia kutoa udhaifu kedekede wa wenza wao kama kutowafikisha kileleni, dushe dogo, n.k. Kila ukifanya kitu na mkeo basi mwenzako ana post.

Jamaa yangu juzi kanyaka simu ya mfanyakazi mwenzake wa kike, akajua udhaifu wa mumewe. Hakupata shida ya kumtokea na kumvua nguo. Yaani ni aibu.
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke, sasa wanaenda kuanika idhaifu wa waume zao alafu mmoja wa wanachama anaenda tumia huo mwanya kumnasa, yaani ni kama unampa aduo yako silaha!
 
naskia stor za wenzang wanavyonyoooshwa kwa bed.. nitofaut naww vp nisiulize kwa wenzang,? nasema .....ikibid naenda kutafuta mnyooosho
 
naskia stor za wenzang wanavyonyoooshwa kwa bed.. nitofaut naww vp nisiulize kwa wenzang,? nasema .....ikibid naenda kutafuta mnyooosho
Kwa hiyo ukisikia mwenzio ananyooshwa na wewe unamtafuta yule aliyemnyoosha ili na wewe akunyooshe dah
 
Hawa wanawake bora walitolewa ubavuni bila hivyo wanaume tungekuwa na tabia zao zote
 
Back
Top Bottom