Onyo: Usipende kunyoa unapoenda faragha mwenza mpya

dudupori

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
1,794
1,913
Wadau heshima kwenu,

Wengi wetu tunapenda kujiswafi sehemu nyeti hasa tunapokuwa na miadi ya kimapenzi na wenza wapya bila kuelewa athari tunazoweza kumbana nazo hasa wale tunaonyoa zote na kubaki kipara. Hii mara nyingine huweza sababisha kupata maambukizo ya baadhi ya magonjwa kwa urahisi hata iwapo mtatumia kinga.

Angalizo ni vyema ukafyeka msitu wako angalau siku mbili kabla ya mechi kuepuka madhara yanayoweza epukika.

Natumaini kuna wataalam watatoa elimu zaidi, karibuni.
 
Mkuu well said ni sahihi sanaaa.
Nilishawahi ku under perform siku moja baada ya huyo Bidada kuja na kipara chenye misumari pembezoni mwa mgodi.
Aisee nilikula lakini niliumiza vibaya sana burdoza langu
Hii ilipelekea kupiga marufuku kubwa ya unyoaji wa siku chache kabla ya mechi
 
Back
Top Bottom