Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu,salama? Ebana juzi nilikua na appoitment ya kukutana faragha na mrembo flani,asa muda ulivyokua umewadia,yeye ndo akawa amenishtua kuwa muda ndo huo na kwa sababu mie nilikua bado na...
1 Reactions
84 Replies
7K Views
Jamaa kanunua laini mpya ya simu akajitumia sms "mwambie mkeo aachane na mume wangu" kufika nyumbani akampa yule mwanamke ile sms asome mke akapaniki sana mara ooh majirani hao hawapendi kuona...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Huyu ni rafiki yangu yapata miaka minane sasa tangu tufahamiane, ni kijana safi na mtanashati wa kweli.Huyu rafiki yangu ana tabia moja ambayo inanishangaza sana na hata yeye sasa anailalamikia...
2 Reactions
70 Replies
14K Views
nimetana na jamaa angu 1 analala mika ana uume mdogo sana kwa ukisimaa ni inch 4 wakati ye kikawaida anajua inabid uwe inch6 so jamaa anahisi anaweza achwa na mke wake ......swal does the size of...
0 Reactions
105 Replies
48K Views
Nimefanya ka uchunguzi kadogo na kugundua kuwa wanaume wengi waliooa hupenda kutoka na wanawake wanaojipamba,kujichubua na kuvaa nguo fupi.lakini kwa mkewe humzuia kujiremba kupita kiasi na kuvaa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina miaka 23..ni mkristo...kwa maelezo zaid ni pm Wanaohitajika. ..umri 26-35
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MAMBO 6 YA KUDUMISHA MAPENZI KATIKA NDOA Habari za Jumapili wana JF, Wengi watu tukiwa tumetulia majumbani mwetu siku ya leo Jumapili nimeona ni vyema ku'share' nanyi mambo machache kama 6 hivi...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Kwa nyakati tofauti nimeshuhudia wanasaikolojia wakitoa ufafanuzi juu ya ukaribu wa wazazi wote wa pande mbili kuwa karibu na watoto wao hasa wanapokuwa wadogo kati ya 0-2+yrs. Moja ya sababu...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubutu wako. 2. Mwanamke anaemuheshimu mumewe ni mwanamke bora...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Ukitaka mwanamke akuheshimu jaribu kumpiga kwa vitendo sio mateke na mangumi. Mf:Kama unaona ana tabia ya kuongea kwa kelele mno hata kwa vitu vya kueleweshana na kutakana radhi ondoka nenda...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani. Sasa kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja...
2 Reactions
80 Replies
9K Views
Wakuu,kuna utafiti nimeufanya bila walengwa kugundua kuwa me nawafanyia utafiti,nimegundua kwamba wanawake wengi wakienda msalani huwa hawajichambi na maji,instead huwa wanaenda na toilet paper...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Yapita miaka minne sasa tangu kaka ulipo ondoka nakusema waenda tafuta maisha kaka nchi za wenzetu,tangu ulipoondoka kaka mkeo alibadilika utafikiri ana mume na watoto wawili uliomwachia...
11 Reactions
104 Replies
9K Views
Salamu wakuu, Natafuta mrembo wa ku chat naye. Anyone interested Inbox me .. Private message Asante
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Niaje wakuu!! Hii ni kwa wanaume Ule usemi wa mjini heshima pesa shikamoo makelele. mimi naukubali sana huu usemi sio siri, ukitaka kudhaminiwa kuwa na hela, otherwise utabaki kulaumu watu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Hi I am a man aged 23 years old and 178cm tall. I am a Tanzanian. I am a second year bachelor's degree student. Am here looking for any single girl with the equivalent age as stated above on the...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naongea na wanaume wenzangu wale walio owa wanawake wenye makalio madogo halafu wakiona wa wenzao wenye makalio makubwa wanaanza kupiga mikelele. Utakuta uko na mkeo matembezini uku kafungashia...
11 Reactions
190 Replies
52K Views
Habari, Leo nimekuja na hili baada ya kuhudhuria semina mbali mbali za wataalamu ikanibidi nije na hili. Tunashuhudia kinamama na mabinti wengi wanaojihusisha na tendo la ndoa kwa muda mrefu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna mwanamke nimeishi nae miaka mitano kanisumbua kweli kweli mpaka nilimpata BP biashara hawezi, pia miaka mitano hajanizalia, ana kiburi balaa juzi kati kaenda kwao rukwa nimemwambia abaki huko...
1 Reactions
108 Replies
12K Views
Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili. Je, unakubaliana na utafiti huu uliofanywa na...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Back
Top Bottom