solanki riyan
Member
- Feb 9, 2016
- 14
- 9
Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani.
Sasa kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu.
Sasa kwa muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu.
Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yeye anamfahamu na sometimes wanaitanaga wifi.
Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?
Hivi hapo anaweza kunilaumu kuwa nimemchezea? Kwa kweli yeye akaitoe tu hakuna namna.