Kama ameona wa nje na kumpenda alivyo na akafanya wake awe kama wa nje...anahisi wanaume wenzie watafanya anayoyafanya yeye. Hapo hakuna sababu nyingine.Hata sijui wanakuaga na nini. Wanapenda vya nje wanaona tabu kupendezesha vya ndani
Sasa uache kumpendezesha mkeo kuburudisha nafsi yako kisa unaogopa kuchapiwa?Kama ameona wa nje na kumpenda alivyo na akafanya wake awe kama wa nje...anahisi wanaume wenzie watafanya anayoyafanya yeye. Hapo hakuna sababu nyingine.
WAOGA, wanogopa kuchapiwa. Wanajua wake zao wakivaa nguo fupi na kupendeza watatongozwa na kugongewa sana.Nimefanya ka uchunguzi kadogo na kugundua kuwa wanaume wengi waliooa hupenda kutoka na wanawake wanaojipamba na kuvaa nguo fupi.lakini kwa mkewe humzuia kujiremba kupita kias na na kuvaa nguo za ain hiyo.kuna sababu au!?