tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,878
- 15,457
Wakuu,salama?
Ebana juzi nilikua na appoitment ya kukutana faragha na mrembo flani,asa muda ulivyokua umewadia,yeye ndo akawa amenishtua kuwa muda ndo huo na kwa sababu mie nilikua bado na vishughuli vyangu,nikamwambia atangulie lodge then mie nitakuja baada ya muda,basi akafanya kama nilivyomuambia,na mie baada ya kumaliza shughuli zangu nikaenda kuungana nae,baada ya kumaliza kufanya yetu nikashangaa ananiomba nimrudishie pesa zake alizolipia ile lodge,hazikua pesa nying za kusema ni pesa ila nilishangaa tu,nikawa najiuliza kwan swala la kulipia malazi nalo ni mpaka mwanaume aligharamikie na wkt tumekula raha wote?