Ni nani aliyekutuma kuoa mwanamke flat screen?

Ni nani aliyekutuma kuoa mwanamke flat screen?

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,908
Naongea na wanaume wenzangu wale walio owa wanawake wenye makalio madogo halafu wakiona wa wenzao wenye makalio makubwa wanaanza kupiga mikelele.

Utakuta uko na mkeo matembezini uku kafungashia kidogo basi mijanaume isiyokuwa na akili inaanza kupiga mayowe oh wakubwa wanafaidi ohh marshallah.

Kwanini na wewe usioe au kutafuta mwanamke mwenye makalio na ukaacha kutamani vya wenzao. Kwanza unamkosea adabu mwanaume mwenzio kupiga miyowe utadhani umeona utupu wa mzazi wako.

Acheni ujinga tuacheni tuenjoy na wake zetu maana hatukuwatuma kuoa flat screen.

Nitonye
 
Duuuuuuuuhhh kweeli bhaana kama ulikosa wa tandam basii endelea kutafuta sio kuropokea wake za watu...! Nshakutonya
 
uwiiiii wuwiii uwiiii eeeh na flat screen yangu ndiyo kuniharibia soko jamani mwe mwe mwee mmmh

Wapo wanaozipenda hizo wala soko halijafa ikishindikana gonga sindano ya mchina yaumuke kama andazi
 
Jamani jamani jamani.......
 
Attachments

  • 1429777359608.jpg
    1429777359608.jpg
    17.1 KB · Views: 3,105
kuna kipindi hivo viflat skrini vilipewaga sifa za kijinga eti mamiss, vipotabo au inglishi figa vilikuwa vinajidai sana. lkn sasa ivi yupa kulee. injoi na wife material wako mzee ila na mimi nikimuona lazima nimpigie mikelele maana ndo ugonjwa huo
 
Tafuta wa wakwako acha kupiga miyowe maana haitakusaidia
 
Unaishi mitaa gani ambayo wanaume wanashangilia wakiona ngongingo iliyonona?
 
Mmmmh mada za makalio zilikuwa zimepotea kwa muda kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom