Kakole
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,094
- 1,745
Niaje wakuu!!
Hii ni kwa wanaume
Ule usemi wa mjini heshima pesa shikamoo makelele.
mimi naukubali sana huu usemi sio siri, ukitaka kudhaminiwa
kuwa na hela, otherwise utabaki kulaumu watu ooooh! siku hizi flani
hanijali, ooooh demu wangu kaniacha/kanisaliti, tafuta pesa kwa nguvu zako zote.
Ukishakuwa na pesa mpendezeshe laazizi wako, haijalishi wengine wadai mpendezeshe hlf wao watammega kisela, haina shida ww tekeleza wajibu wako mengine mwachie Mungu.
w'end njema wakuu