Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

KABLA HUJAFANIKIWA WEWE NI LAZIMA MTU HUYU AFANIKIWE KWANZA Ndio kila mmoja wetu anapenda mafanikio makubwa kwenye maisha. Lakini jambo moja la ukweli ambalo huenda hujawahi kulipa uzito ni...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu, . Juzi tar 8 tumetoka kuzika...
4 Reactions
401 Replies
92K Views
Wakuu, Kuna utafiti nimeufanya bila walengwa kugundua kuwa me nawafanyia utafiti, nimegundua kwamba wanawake wengi wakienda msalani huwa hawajichambi na maji,instead huwa wanaenda na toilet paper...
0 Reactions
142 Replies
64K Views
Wadau MMU heshima kwenu, Je, wewe binafsi unakubali watu waoane kwa kulipia mahari,au waoane Free of charge?"Mahakama ya juu zaidi nchini Uganda imesema kuwa utamaduni wa kurejesha mahari...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari zenu wote, Nataka kushare na nyinyi story ya maisha yangu ya kimahusiano tangu naanza issue nzima za mapenzi, honestly hiki ni kitu kinanisumbua sana. Nahisi kama sijui nina bahati mbaya...
9 Reactions
116 Replies
10K Views
Habari zenu wanajukwaa!! Leo nimefuatwa na kijana mmoja akiomba nimtoe ktk mtanziko alionao baada ya mkewe kujifungua. Alikuja kwangu kuomba ushauri lkn alikuwa na maswali yaliyonipa changamoto...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
habar wadau!ok kuna a boy niliyekua nae class1,at fist we were frnds and he knws kuwa i had a boyfnd na yy he has a grfrnd,.,aliishawah nieleza kuwa anafilings 4me bt i ddnt take it serious coz by...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Huyu mtu wangu tuna miaka 8 naye watoto wawili, nimesafiri miaka 4 na kurudi mara 2 home japo mawasiliano yalikuwa daily tuwe waaminifu, ila baada tu ya kurudi nimekuta mabadiliko kibao: 1...
2 Reactions
166 Replies
15K Views
Wasalaam wanajamii. Kicheche ndiye mnyama mdogo zaidi lakini ana maajabu makubwa sana. Anauwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake cha ajabu zaidi hawezi kuishi bila kufanya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za humu ndani, ni matumaini yangu kila mmoja ni mzima wa afya na anaendelea na majukumu ya kawaida ya kila siku. Kwa wale wagonjwa Mungu awaponye mjumuike nasi kuutafuta mkate wa siku...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Hellos. .... Maisha ukiyatizama kama mstari au kama umbo lolote hutayafurahia kwa asilimia zote.... ila ukiyatizama kama maisha ya amoeba ( yule mnyama sijui mdudu tumejifunza form two kwenye...
4 Reactions
69 Replies
7K Views
Baadhi ya wanaume ni shida tupu yaani unaweza ua mtu hivihivi maana ni afadhali kufungwa jela hata miaka mia kuliko kuvumilia kumuona bado anaishi. Yamemkuta mdada family friend wetu, huyu dada...
1 Reactions
167 Replies
21K Views
NI LAZIMA WASEME NA WATOE SABABU Niwape mfano wa Simba na Yanga wakiwa na mchezo wa mpira, kuna majibu ya ya aina tatu yanaweza kutokea kwa timu yoyote kati ya hizo. Kushinda, kushindwa au kutoka...
3 Reactions
0 Replies
850 Views
.......
1 Reactions
66 Replies
6K Views
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa CCM, Tawi la Washington DC, Marekani, Loveness Mamuya, yupo kwenye uhasama mkali na Mtanzania mwenzake anayeishi nchini humo, Linda Bezuidenhout, kiasi cha...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naamini kabisa kwa asilimia kubwa kubadilika tabia kwa mke ni matokeo ya tabia chafu za mume, wanawake wengine wanaweza kutendwa lakini kutokana na hofu ya maisha basi wanajikuta wakiuguza donda...
7 Reactions
47 Replies
7K Views
Hbr za uck wapendwa,nimekuwa na mahusiano na dada mmoja hivi kwa mwaka wa pili sasa,tatzo liliopo ni kwamba hyu Dada amekuwa na mawasiliano ya krb sana na kaka yake wa baba mdogo wamekuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za wikiendi wanaJF, Leo katika mapumziko yangu nilikuwa nasoma jarida la kila mwezi la Parents. Katika jarida hili huwa kuna makala inayoitwa "Marriages That Last" ambapo huwahoji wanandoa...
7 Reactions
56 Replies
6K Views
Wakuu,salama? Ebana juzi nilikua na appoitment ya kukutana faragha na mrembo flani,asa muda ulivyokua umewadia,yeye ndo akawa amenishtua kuwa muda ndo huo na kwa sababu mie nilikua bado na...
1 Reactions
84 Replies
7K Views
Jamaa kanunua laini mpya ya simu akajitumia sms "mwambie mkeo aachane na mume wangu" kufika nyumbani akampa yule mwanamke ile sms asome mke akapaniki sana mara ooh majirani hao hawapendi kuona...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom