Ni bingwa wa kutongoza lakini hafanyi ngono ng'o

UKAWA2

JF-Expert Member
Apr 22, 2014
2,182
1,970
Huyu ni rafiki yangu yapata miaka minane sasa tangu tufahamiane, ni kijana safi na mtanashati wa kweli.Huyu rafiki yangu ana tabia moja ambayo inanishangaza sana na hata yeye sasa anailalamikia.

Ni kwamba,huyu ndugu anapenda sana kutongoza wanawake,hasa wanawake wenye makalio makubwa akikutana naye atafanya kila linalowezekana kupata namba yake ya simu na kuanza kumchombeza.Kwa kweli atafanya kila jitihada kumtongoza huyo mwanake hadi ahakikishe anamkubalia.

Sasa tatizo linaanzia hapo tu mwanamke akishakubali,jamaa hana hamu naye tena kumpigia simu ndo inakuwa mwisho na huwa hataki mawasiliano naye tena na kama ikiwezekana anakuwa ameshaanza kumfuatilia/kumtongoza mwingine tayari.

Hii tabia imekuwa ya kudumu kwa huyu rafiki yangu na sasa imekuwa kama uraibu (addiction)wa kutongoza lakini mwanamke akikubali tu jamaa analala mbele jana mwanamke mmoja alimtumia sms hii nanukuu"ASANTE KWA KUJA KWAKO KWANGU KUFANYA MAJARIBIO,BILA SHAKA UMEFANIKIWA.SASA SUBIRI NA MIMI NTAKAPOANZA KUKUFANYIA MAJARIBIO".

Hiki ndicho kilichomshtua na kuona kwamba huenda anakoelekea sio kuzuri.Kwa kweli sijui ni nini kinachomsibu huyu rafiki yangu na ninavyomfahamu,kuacha kutongoza hawezi.Wataalamu wa tabia za binadamu mnaweza kunisaidia kujua kama hili jambo ni kawaida tu au kuna kitu hakiko sawa hapo.
 
Nguruwe pitaaaaaaaaaaaaaaa sinamkuki mieeeee,wewe haramu kwanguuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!! huyo mkaka ana walakn..
 
Atakuwa hana hela au hela yake ana waza sana kwenye kuitumia kwa ajili ya mapenzi maana ni za ngama au ana hofu kubwa
 
Ongera sana mtoa madaa hali hiiii ina watatiza wengi sababu zifuatazo
1:inawezekana ajawaii sex
2:inawezekana ni member mzuri wa PUNYETO
3:Inaweekana jogoo halipandi mating
 
Back
Top Bottom