Utafiti: Hawa ndo wanaume wenye moyo wa kutoa

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,204
3,337
f2167374cb0c21bb1021bae0004568c0.jpg


Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili.

Je, unakubaliana na utafiti huu uliofanywa na wanasayansi katika chuo kikuu cha McGill University nchini Canada.
 
wenye moyo wa kutoa au wasikilizaji? kumbe hata mimi cha nne ni kirefu sikuwahi kuchunguza
 
UTAFITI WAO UNA UDHAIFU MKUBWA MANA HAPA NAANGALIA VYA MIGUUNI SIJUI NIPO SAHIHI
 
kuna bro wangu ni mbahili sana kwa mke wake na hata ndgu zake nitamchunguza vidole vyake then nitathibitisha huo utafiti
 
Back
Top Bottom