Je, Ni kweli mtoto huambukizwa na wazazi hamu ya kufanya mapenzi?

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Jul 24, 2013
3,097
1,354
Kwa nyakati tofauti nimeshuhudia wanasaikolojia wakitoa ufafanuzi juu ya ukaribu wa wazazi wote wa pande mbili kuwa karibu na watoto wao hasa wanapokuwa wadogo kati ya 0-2+yrs.

Moja ya sababu wanayotoa bi jinsi mama anavyoweza kumwambukiza mtoto wa kiume ile hali ya kupenda wanawake yaani kuvutiwa na wadada kwa maana ya kimapenzi. Hali hii pia ni kinyume chake kwa baba kwa mtoto wake wa kike. Hudai hali hii mtoto akisha ambukizwa huendelea kukua kadrii anavyo kua kwa kimo na akili.

Wamekuwa wakitoa mifano mbalimbali kwa watoto wanao lelewa na wazazi wa upande mmoja kama siyo side yake kwa maana ya 'ke kwa 'me au kinyume chake watoto hawa huwa wanakuwa na tatizo la kupenda mapenzi ya jinsia moja au kukosa mapenzi ya dhati na furaha ya kweli kwenye familia zao.

Sasa naomba kujua facts kwa wazoefu kwa maana kuona au kwa utaalamu wa saikolojia tukisema wazazi ndiyo huwabukiza watoto hali kuwa hamu ya kupenda pupuchi na kugegendwa kwa watoto wa kike??

Reference yangu ninaichukua kwa uzoefu wa kuwa hakuna mtoto anafunzwa kugegeda au kugegedwa ufundi hii mambo hudevelop kutoka wapi ata umfiche mtoto atajua bila ata kuona mahali.

Karibu mwenye mchango wa kuongeza maarifa..!
 
Ni kweli kabisa jinsi ya mtoto hukamilishwa na jinsi Tofauti ndio maana watoto wa kike wanakuwa karibu sana na wazazi wao wa kiume vivyo hivyo kwa mtoto wa kiume huwa karibu na mama. Single parent families zinaathiri sana makuzi ya watoto kijinsia.
 
Nilisoma mahali kwamba watoto waliolelewa na mzazi mmoja nchini marekani ndio wanaoongoza kwa uharifu, utumiaji wa madawa ya kulevya na ujambazi.
 
Kwa nyakati tofauti nimeshuhudia wanasaikolojia wakitoa ufafanuzi juu ya ukaribu wa wazazi wote wa pande mbili kuwa karibu na watoto wao hasa wanapokuwa wadogo kati ya 0-2+yrs.

Moja ya sababu wanayotoa bi jinsi mama anavyoweza kumwambukiza mtoto wa kiume ile hali ya kupenda wanawake yaani kuvutiwa na wadada kwa maana ya kimapenzi. Hali hii pia ni kinyume chake kwa baba kwa mtoto wake wa kike. Hudai hali hii mtoto akisha ambukizwa huendelea kukua kadrii anavyo kua kwa kimo na akili.

Wamekuwa wakitoa mifano mbalimbali kwa watoto wanao lelewa na wazazi wa upande mmoja kama siyo side yake kwa maana ya 'ke kwa 'me au kinyume chake watoto hawa huwa wanakuwa na tatizo la kupenda mapenzi ya jinsia moja au kukosa mapenzi ya dhati na furaha ya kweli kwenye familia zao.

Sasa naomba kujua facts kwa wazoefu kwa maana kuona au kwa utaalamu wa saikolojia tukisema wazazi ndiyo huwabukiza watoto hali kuwa hamu ya kupenda pupuchi na kugegendwa kwa watoto wa kike??

Reference yangu ninaichukua kwa uzoefu wa kuwa hakuna mtoto anafunzwa kugegeda au kugegedwa ufundi hii mambo hudevelop kutoka wapi ata umfiche mtoto atajua bila ata kuona mahali.

Karibu mwenye mchango wa kuongeza maarifa..!
mkuu kwa uelewa wangu mdogo wa saikolojia,, mapenzi yanayozungumziwa hapo sio ngono (sex), bali ni upendo wa dhati
mtoto wa kiume aliyelelewa pasipo upendo na mzazi wake wa kike hatowapenda sana wanawake bali atawaona kama watu wasio na akili ambao ni kama sex objects tu, waongo na wasio na mchango wowote kwenye familia na jamii kiujumla
ila mtoto wa kiume aliyelelewa vizuri na mama yake, atamuona mwanamke kama mtu muhimu sana kwa familia na kwenye maisha yake na atakua anapenda mwanamke wake
na kwa mtoto wa kike hivyo hivyo
personality ya mtoto inajengwa sana wakati akiwa mdogo
( hapa nime assume factor nyingine zote zipo vizuri)
 
Ndoa zisizovunjika ni ile ya mtoto wa kiume aliyelelewa na mama yake, aoe mwanamke aliyelelewa na baba yake.(single parenting)

Nakwambia zinakuwa na upendo na kuvumiliana kwa hali ya juu, na ni nadra sana kuvunjika, kama unabisha basi hujafanya utafiti wa kutosha.
 
Back
Top Bottom