manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
Kuna mwanamke nimeishi nae miaka mitano kanisumbua kweli kweli mpaka nilimpata BP biashara hawezi, pia miaka mitano hajanizalia, ana kiburi balaa juzi kati kaenda kwao rukwa nimemwambia abaki huko huko simtaki tena sina ndoa nae wala sijamlipia mahari amekua mbishi haelewi kabisa mimi nipeni njia nimfanyeje anisahau.