Hivi kwa nini baadhi ya wanawake huwa hawapendi kujitawaza na maji pindi waendapo msalani?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,878
15,453
Wakuu,kuna utafiti nimeufanya bila walengwa kugundua kuwa me nawafanyia utafiti,nimegundua kwamba wanawake wengi wakienda msalani huwa hawajichambi na maji,instead huwa wanaenda na toilet paper tu,kuna mmoja nilimfuma mahali kwenye hvi vyoo vya kushare tena ni binti mrembo tu,nikakuta kanya juu afu kajitawaza na toilet paper akasahau hata kuflash na maji,kiukweli nimekua nikijiulza sana,kwa nini hawa wenzetu huwa hawapendi kujichamba na maji pindi waendapo msalani..naombeni mnipatie majibu yenye kueleweka kwa maana baadhi yenu mko humu?
 
Sio wanawake tu hata wanaume wapo wanatumia toilet paper....sipendi hiyo tabia jaman khaaa.
 
Hivi kabisa unataka kusema....

Choo cha kushare.....

Achukue kopo... linalotumiwa na mamia ya watu (mengine yana hadi utelezi au weusi)

Aoshee maeneo yake????

Au kile kibomba..... kimegalagazwa na jushikwa na kila mkono achilia mbali maji kutoka nyeti mbalimbali yaliyokirukia wakati wakinawa..... aoshee nyeti zaje???????

Kweli kabisaa??????

Iam wandaz

Hapo labda tatizo ni kutokuflash vizuri.....ungemwita umwambie live
 
Wakuu,kuna utafiti nimeufanya bila walengwa kugundua kuwa me nawafanyia utafiti,nimegundua kwamba wanawake wengi wakienda msalani huwa hawajichambi na maji,instead huwa wanaenda na toilet paper tu,kuna mmoja nilimfuma mahali kwenye hvi vyoo vya kushare tena ni binti mrembo tu,nikakuta kanya juu afu kajitawaza na toilet paper akasahau hata kuflash na maji,kiukweli nimekua nikijiulza sana,kwa nini hawa wenzetu huwa hawapendi kujichamba na maji pindi waendapo msalani..naombeni mnipatie majibu yenye kueleweka kwa maana baadhi yenu mko humu?
Sema tu unajinasua baada ya kufikisha arobaini zako za upigaji chabo kwa kusingizia utafiti.
 
Back
Top Bottom