Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri. Nolesy alijitosa katika ndoa licha ya hofu na ushauri mwingi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hellow jamaa niko Serious very serious...! napenda nikutane na Mwanamke Mnene kwelii (bonge,tufe) mweusi ninapenda sana mwanmke wa Namna Hiyooo!! please please! nina Miaka 25 mrefu mweusi elimu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau, Mwishoni mwa Mwezi Disemba mama alikuja hapa Dar na mgeni, walifikia kwangu, mgeni mwenyewe ni binti wa kama miaka 20 hivi, nilishangaa maana mama akija Dar hufikia kwa mkubwa wangu, kaka...
7 Reactions
197 Replies
22K Views
Wapendwa, Nimekuja mnishauri nini cha kufanya. Mimi ni msichana nina umri wa miaka 26 sasa. Niko kwenye uhusiano ila pamoja na yote kuna kijana nilimuona tangu 2011 akanivutia sana nimemfatilia...
0 Reactions
55 Replies
10K Views
Mimi ni muajiriwa wa JWTZ Kikosi cha 202 Faru Tabora. Nilipokutana na binti mrembo wa ki-singida nikampenda na kumueleza azima yangu kwamba namuitaji kifamilia na akanielewa. Na tukawa ktk...
17 Reactions
809 Replies
126K Views
Huyu Dada anaitwa Enica (mpenzi wangu) nimekuanae kwenye mahusiano kwa muda wa miezi 9 sasa cha ajabu ukitamka neno kufanya mapenzi anageuka mbogo mwanzoni nilivumilia kama miezi mitatu ya kwanza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekutana na mambo, visa na mikasa.............. Nimekutana na vijaluba vya dunia hii vyoote unavyovijua.............. Dua mbaya zote zilizokuwa zinaombwa juu yangu bila kujua idadi yake...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari ya usiku wandugu, Jamani mimi nimepatwa tatizo leo, kuna binti anafanya kazi na mdogo wangu leo nilienda kumsalimia dogo nikamkuta yupo na huyo mwenzie nae ni muajiriwa wa hapo. Huyo binti...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
jamani habari zenu hasa wadada huu ni ujio wenu ,mimi ni mkaka mwenye miaka 32. Ni muhitimu wa ngazi ya shahada, afisa elimu ngazi ya sekondari kwa sasa, na nina imani ya juu ndani ya kristo yesu...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
UAMINIFU NDIO KINGA KUU Simu zimevunja ndoa nyingi za watu. Na mtu akikaa kando ndio anajishangaa. Na kujiuliza ni simu tu au? Kwani simu ni kitu kidogo ambacho ukikidharau hautadumu kwenye ndoa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Malalamiko ya wanandoa kutokuwa waaminifu miongoni mwao yamekuwa mjadala wa sasa kiasi cha watu kuanza kushutumiana na wakati mwingine kuharibu mahusiano yao na hatimaye kuachanisha mahusiano ya...
5 Reactions
64 Replies
7K Views
You used to call me on my You used to, you used to Yeah You used to call me on my cell phone Late night when you need my love Call me on my cell phone Late night when you need my love And I know...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
ADABU YA MUME KWA MKEWE. 1. Usitangaze udhaifu wa mkeo kwa familia na marafiki, kila mmoja anamtunzia mwenziwe hadhi yake. 2. Usiwe na mtizamo mbaya wala kuzungumza naye kwa hisia kali huwezi...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
"Love Yourself" For all the times that you rain on my parade And all the clubs you get in using my name You think you broke my heart, oh, girl for goodness' sake You think I'm crying on my own...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Yamenikuta mimi mwenzenu hata sijui nifanye nini, ila kwa kifupi ni kuwa nimepata ushahidi bila chenga kuwa mke wangu na mfanyakazi wa ndani ama house girl wanasagana. Bado sijamwambia mke wangu...
2 Reactions
73 Replies
21K Views
Wana JF, Sina raha kabisa. Nimejaribu kulala lakini imeshindikana. Vidonge vyangu vya usingizi vimeniishia kabisa. Niliwahi kuleta mada juu ya mpenzi aliyeniacha ingawa muda wote ameniganda...
8 Reactions
174 Replies
21K Views
Ila kiu halisia wanawake wa maskini wasio na hela ni watamu zaidi,maana tunawapa treatment ambazo hawajawahi kukutana nazo maisha yao yote.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
KADIRI SIKU ZINAPOPITA NA MAMBO HUBADILIKA. ZAMANI ILIKUWA UNAFUNGA SAFARI KWENDA WASABAHI NDUGU JAMAA NA WENGINEO. KWA SASA HAKUNA. PIA TEKNOLOJIA IMECHANGIA. VIVYO HIVYO UFAHAMU NA UELEWA WA...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Nawashangaa wakaka wa leo hawana vifaa vya kuji link na watoto wa ukweli! Kupata mtoto wa ukweli wala hata haihitaji uwe na mpunga au mkoko wa maana. Ni vile unavyoji package tu. Pale inapotokea...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwanini watu wanasema moyo wangu umependa? Kwanini sio akili ,macho? Sababu kupenda kitu macho ndo yanaona, meseji inapelekwa kwenye ubongo, ubongo unafanya interpretation kama kitu kizuri, kibaya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom