Mwanaume unatawaliwa na mkeo

Mwanaume unatawaliwa na mkeo

Kwanza mimi sio mtaalamu wa masuala ya mapenzi, ila nimepitia changamoto tajwa hapo juu, mimi ni mwanaume nilioa zamani kidogo, mke mzuri wa tabia na sura but akaja kubadilika na kunitawala akawa kichwa cha nyumba.

Nilipambana na hiyo hali ikiwemo kutoa kipigo, kupeleka kwao n.k bila mafanikio.

Ndipo siku moja nikapata dawa ambayo nawashirikisha wenzangu, waliofanyiwa, wanaofanyiwa au wanaotegemea kufanyiwa, remember usimcheke mwenzako jipange ndugu! haya twende.

1.One mistake one goal formula.
usilee mambo madogo madogo ya kipuuzi! mwanamke atakusoma tabia yako mwanzoni kabisa wa ndoa yenu! siku amefanya fyongo ukapotezea bila kumuonya kesho atakwenda next stage.

2.Tendo la ndoa.
ni kweli hiki ni kiungo cha ndoa but kisitumike kama 'kinyanyasio' so mwanamke akijua huo ndio ugonjwa wako utateswa my friend! mfanye yeye akuhitaji wewe sio wewe umhitaji na hata akikunyima ikuume kimya kimya asijue atakunyanyasa ndugu.

3.Mfanye mwanamke awe dependent kwako! kama sio kifedha basi hata kimawazo, mfanye
 
Asante ndugu ila kidogo sana naomba ufafanuzi wa hiyo namba moja hapo juu....
 
Ahha japo kiupande mwingine n.kweli haya uyasemayo ila suala la mume kupandwa kichwani inategemea sana. Mume n kichwa cha nyumba iweje mke aje akupande ulikua umelala au umepoteza fahamu??? Mume ndo mwenye saut ya mwisho kwa nin mkeo ndo awe na mamlaka juu ya nyumba yenu????? halaf hata akukere vip mume hanyimwi tendo la ndoa..
 
asiweze kufanya jambo bila wewe.. hii itakusaidia hata kuringia sana..
4.uwe na msimamo.. ili usidharaulike mwanaume usiwe kigeu kigeu.. mfano ukisema sitaki hiki basi USITAKE KWELI..
5.uwe na maono makubwa!
mwanamke atakuheshimu kutokana na plan zako za baadae! usiwe mtu wa kuwaza kujenga vyumba viwili waza gorofa!

kuhusu namba moja..
mwanamke anatunza kumbukumbu kuliko mwanaume.. mfano umezoea anakupelekea maji bafuni mara unashangaa anakuambia leo d nimechoka maji nimekuwekea kwenye ndoo 'nenda nayo tu' bafuni! hapo umetegwa broo! kama utapeleka jua kesho utachota! kesho kutwa utayafuata mtoni! ni hayo tu utafiti ita watu8 muendelee
 
Last edited by a moderator:
Nadhani labda niwe sijakufahamu vizuri lakini mbona mambo ya kupandwa kichwani Sio sawa, inakuwaje mpaka anakupanda? Kama mkeo unampenda mnaelewana mnapanga pamoja kugombana kupo ila kupigana hakupo, wala kujifanya wewe uko juu hata Kama unataka Chalii Kwa mkeo unataka akufate hapo kosa, jua kwamba ukideka wenzio wanadekeza, ukinyeta wenzio wananyeteza, wala kumfanya akuhitaji ki mawazo hujajenga bado...
 
sikulaumu.. ila kuna siku utanikumbuka.
 
Ok. mwanamke jinsi utakavyomkaribisha kwako cku za kwanza ndo atakavyokuwa hivo hivo, kwa hiyo unatakiwa uanze kudhibiti kila dalili mbaya mapema.
 
Ahha japo kiupande mwingine n.kweli haya uyasemayo ila suala la mume kupandwa kichwani inategemea sana. Mume n kichwa cha nyumba iweje mke aje akupande ulikua umelala au umepoteza fahamu??? Mume ndo mwenye saut ya mwisho kwa nin mkeo ndo awe na mamlaka juu ya nyumba yenu????? halaf hata akukere vip mume hanyimwi tendo la ndoa..

Haaaa! kumbe! mbona huyu ananinyimaga akivurugwa?
 
Jamani mapenzi ni kupendana kuridhishana kudaidiana teena kwaa pande zoote mbili sio tuu mwanamke awe mtumwa wa mumewe bali kila mmoja awe mtumwa wa mwenzwe kwa upendo na sio manyanyaso,niinii maji bafuni kupika au kufua teeena chuuupi kabisa mume awezafanya yooote hayo kws mkewe ispokua iwe ni kwa mahaba na sio kushurutisha,mapenzi ni kudekezana na c mke pekeake kumdekeza mumr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom