Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukitaka mwanamke akuheshimu jaribu kumpiga kwa vitendo sio mateke na mangumi. Mf:Kama unaona ana tabia ya kuongea kwa kelele mno hata kwa vitu vya kueleweshana na kutakana radhi ondoka nenda...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani. Sasa kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja...
2 Reactions
80 Replies
9K Views
Wakuu,kuna utafiti nimeufanya bila walengwa kugundua kuwa me nawafanyia utafiti,nimegundua kwamba wanawake wengi wakienda msalani huwa hawajichambi na maji,instead huwa wanaenda na toilet paper...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Yapita miaka minne sasa tangu kaka ulipo ondoka nakusema waenda tafuta maisha kaka nchi za wenzetu,tangu ulipoondoka kaka mkeo alibadilika utafikiri ana mume na watoto wawili uliomwachia...
11 Reactions
104 Replies
9K Views
Salamu wakuu, Natafuta mrembo wa ku chat naye. Anyone interested Inbox me .. Private message Asante
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Niaje wakuu!! Hii ni kwa wanaume Ule usemi wa mjini heshima pesa shikamoo makelele. mimi naukubali sana huu usemi sio siri, ukitaka kudhaminiwa kuwa na hela, otherwise utabaki kulaumu watu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Hi I am a man aged 23 years old and 178cm tall. I am a Tanzanian. I am a second year bachelor's degree student. Am here looking for any single girl with the equivalent age as stated above on the...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naongea na wanaume wenzangu wale walio owa wanawake wenye makalio madogo halafu wakiona wa wenzao wenye makalio makubwa wanaanza kupiga mikelele. Utakuta uko na mkeo matembezini uku kafungashia...
11 Reactions
190 Replies
52K Views
Habari, Leo nimekuja na hili baada ya kuhudhuria semina mbali mbali za wataalamu ikanibidi nije na hili. Tunashuhudia kinamama na mabinti wengi wanaojihusisha na tendo la ndoa kwa muda mrefu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna mwanamke nimeishi nae miaka mitano kanisumbua kweli kweli mpaka nilimpata BP biashara hawezi, pia miaka mitano hajanizalia, ana kiburi balaa juzi kati kaenda kwao rukwa nimemwambia abaki huko...
1 Reactions
108 Replies
12K Views
Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili. Je, unakubaliana na utafiti huu uliofanywa na...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Natafuta girlfriend awe mwanachuo Dar, mimi mwanachuo nina umri wa miaka 24, dini mkristo awe mkristo mwenzangu.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kama wiki mbili hivi nimekua bize nilikuwa na mgonjwa hospotalini Muhimbili,kwa kuwa alikuwa wodi ya wazazi(wajawazito) niliweza kujifunza mengi hasa tatizo la akina mama kujifungua kwa matatizo...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
I mean sometimes wanakupa vyeo ambavyo hata ww mwenyewe unaona hauvistahili, they treat u more nicely na kukuzidishia respect ukilinganisha na kipindi cha nyuma mtu ulipokuwa kapuku What's the...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi bwana ndugu zangu sijafurahishwa kabisa na kitendo cha Mama kaniletea mke kutoka kijijini bila ridhaa yangu, nifanyeje? pia nikaleta Mrejesho: Mama kaniletea mke bila ridhaa yangu...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimekuwa ni mmoja wa watu ambao nikiwa na pesa nakuwa mwepesi sana kupata totozi na nawaburuza kweli kweli ila yote hii ilikuwa ni kwa sababu napata vihela vya kawaida kwa hyo skuwa na malengo...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Kama mkeo au mchumba yako ni mweupe jua kabisa kuna midume zaidi ya 20 inamtongoza kwa siku.Njia salama ni wewe Kumuweka karibu mpenzi wako.Kama una Gari mfundishe mapema.Kama hauna inabidi...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Wadu mimi nafikiria kuwa na watoto tuu ambao nitakua nawachukua kwa mama zao na Kuwatunza huku nikiwapa matunzo yote yanayostahili pamoja na Kusoma shule nzuri. Wengine wanasema siyo vizuri...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya wanawake wa kiswahili sasa sio mabadiliko ya mwili ni sifa au kukomoana, unakuta unatakiwa ulete vitu kibao visivyo vya kawaida, wengine utafikiri anaitwa usiniguse, ndio mahaba...
0 Reactions
90 Replies
12K Views
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa dada zangu na mama zangu wadogo. Kabla dada hujaamua kuvaa suruari angalia umbile lako kama linaendana na uvaaji suruari. Najua kina dada wengi wanapenda kuvaa...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom