Wanaume: Chanzo cha maradhi kwa wanawake

Wanaume: Chanzo cha maradhi kwa wanawake

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,644
Reaction score
6,397
Habari,

Leo nimekuja na hili baada ya kuhudhuria semina mbali mbali za wataalamu ikanibidi nije na hili.

Tunashuhudia kinamama na mabinti wengi wanaojihusisha na tendo la ndoa kwa muda mrefu wanakua na matumbo makubwa na baadae kuelekea mauvimbe na hata kansa, pia matatizo ya mgongo hua yanawambua sana kina mama wengi.

Kumbe tatizo hili husababishwa na na kinababa au wanaume ambao huwa hawawafikishi wapenzi wao kileleni ili kufanya kile kitu kilichotakiwa kutoka kitoke mahala husika na si kuishia njiani na kutengeneza mafuta mwilini hasa tumboni na kwenye mgongo hatimaye kufikia kwenye maradhi sugu.

Pia tatizo hili lakutokufika kileleni huweza kusababishwa na mwanamke kama hatokua na hiyari ya kulikubali tendo hilo kwa wakati huo, hivyo kwa vyovyote vile mwanamke ahakikishe anafika kileleni ili ajiepushe na matatizo haya makubwa hapo baadae.

Pamoja na hayo magonjwa hayo pia yanaweza kutokana na matumizi ya mavyakula ya kiwandani,vipodozi na kutokufanya mazoezi na mlo kamili.
 
kumbe sio michemsho na ofa za bure ndio sababu za vitambi ?
 
ngoja akina dk Mwaka waje mshauriane kuhusu hili.
 
typing error...................................................................
 
Jamani hizi semina zenu za kudanganyana hizi. Haya wamekusikia
 
Na kwa nini wasifikishwe huku kileleni...?Ni kosa la jinai kuwa na mgeni mtalii (Mwanamke)muanze safari ya kupanda kilimanjaro halafu usimfikishe kileleni kwanza hutolipwa mshahara na kazi ndo itakuwa mwisho wako na lazima atatafutwa Guide mwingine mwenye uwezo zaidi yako kuhakikisha atamfisha mgeni huyo kileleni....So take care.
 
Habari,

Pia tatizo hili lakutokufika kileleni huweza kusababishwa na mwanamke kama hatokua na hiyari ya kulikubali tendo hilo kwa wakati huo, hivyo kwa vyovyote vile mwanamke ahakikishe anafika kileleni ili ajiepushe na matatizo haya makubwa hapo baadae.
Hili ndiyo tatizo sasa na si wanaume kama ulivyosema.
 
Back
Top Bottom