Jamani nina mpenzi wangu wa kike ambaye tulikubaliana kuoana.
Cha ajabu leo kaniambia kwamba mimi ni mwanaume wa 97 tangu aanze sex.
Sasa hiyo idadi naiona kama kubwa sana.
Wakati mimi mpaka...
Wadau salam,
Kuna tabia zipo katika baadhi ya mahusiano ambazo nimekuwa sipati majibu ya kuridhisha, utakuta upo na msichana/msichana yupo na mvulana wamepanga kuoana (uchumba wa kawaida) sasa...
Kunjane! Dumela! !
Natumai mko poa wote, poleni mliokumbwa na changamoto mbali mbali.
Tukiwa tunajiandaa kuingia msimu wa mvua na baridi kwa huku johannersburg wiki yote hii tulikuwa na vikao...
A man who enjoys your company and has fun with you will keep you around for as long as possible. Even when he knows for sure he will never marry you, he will keep dating you until he finds the...
Habari wanaJf,
Kuna shemeji yangu ambaye nimezaa na mdogo wake tumekuwa na mahusiano ya siri ya kimapenzi tangu 2014.
Mume wake huwa namuita kaka maana amenizidi umri na pia kwakuwa ameoa dada...
Habari zenu wanajamvi kuna mabinti kama wawili miaka hiyo ndio nimeingia umri wa kujua warembo, mmoja alinitoa kwa majibu ya dhihaka kana kwamba mm sio binadamu kama yeye, mwingine...
Sasa Au Sio Sasa.
Tumekuwa tunajidanganya sana, na katika kujidanganya huku tumekuwa tukipoteza muda mwingi na kushindwa kukamilisha yale ambayo ni muhimu sana kwetu.
Kuna mambo mengi ambayo...
SIGNS THAT YOU WILL NEVER MARRY
1.If you can make a perfctly round chapati and you are a man think twice.
2.If you light a Jiko on weekend and cook your own githeri,hahaha sioni bibi hapo...
Mm naitwa moody kabwe nina umri wa miaka 28
Nahitaji mke wa kuo ila mimi kwa sasa sina kazi niliachishwa kazi kipindi cha kampeni za uchaguzi na bos wangu yeye ni ccm baadala ya mimi kutekeleza...
Kuna tatizo sana la mausiano kwa ma secretay, (si wote) wengi huwa hawaolewi pamoja na wengi wao kuwa warembo haswa na hata walio katika ndoa zao nyingi huwa zina mgogoro wa hapa na pale sasa...
Part of me agree with this..
But then I don't agree with her,being mentally,physically and emotionally matured for marriage is never about age..
Life lessons are not measured by age,every...
Nimekutana na mada nyingi wavulana wakilalamika kuhusu mapenzi kuwa wanaumizwa, nina miaka 22 na mie pia nishaumizwa nilijaribu sana kumrudisha lakini baadae nilijilaumu kwa kuwa niliona nilikuwa...
Ndugu zanguni kwanza kabisa habari zenu,
Pili inabidi sisi kama wavulana tusitumie hela zetu vibaya kuwahonga mabinti kwani hawa watu watakushusha thamani pindi utakapofulia.
Ni bora ujenge...
I greet you all JF members,
Kuna watu wanakaa katika mahusiano ya uchumba kwa miaka kibao bila kuishi maisha ya ndoa rasmi, kutokana na utafiti wangu(naruhusu ukosoaji) angalau mkiwa na uhusiano...
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninahitaji kupata mtoto na nimeonelea nitafute mwanamke/mdada ambaye yuko tayari kwa hilo kisha tukubaliane terms & conditions.
Ningependa mhusika awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.