balota JF-Expert Member Sep 16, 2014 348 246 Feb 18, 2016 #1 Ndugu mwanamke mwenye elim ya dini ya kiislam anatafutwa
Basham JF-Expert Member Oct 10, 2014 743 433 Feb 18, 2016 #2 Unamtafuta uku shehe, In sha allah utapata
mbegubora29 JF-Expert Member Mar 14, 2015 502 329 Feb 19, 2016 #5 washaolewa labda mpaka useme wa shida gn mkuu
KikulachoChako JF-Expert Member Jul 21, 2013 18,898 36,217 Feb 19, 2016 #6 Anatafutwa na polisi au nani....??
Dream Queen JF-Expert Member Nov 4, 2015 8,263 18,174 Mar 5, 2016 #9 Anatafutwa na nani na amefanya nini.