BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
'The beautiful ones are not yet born' kuna madogo wakikaa vijiweni kwao. wanadanganyana sana! mara utasikia 'Mimi lazima nipate demu mkali nikipata channel/kazi/biashara' dogo umewahi jiuliza gharama za kuendelea kuutunza uzuri wa huyo demu unayemtaka? au unadhani mtakula huo uzuri?
Umewahi elewa kuwa uzuri unafifia na wazuri wengine wanazidi kuzaliwa? My solid advice tafuta hela za kutosha hizi story za kutafuta hela pamoja na mke sio. ukipata hela utapata aina ya mwanamke umtakaye, pia watakutafuta kuliko wewe kuwasaka bila pesa.ukifanikiwa utafanyakazi ya kuchagua mpwa.
Unaosikia wanahaha mtaani na kuchapiwa ni wale walio kurupuka kuoa na kushindwa kumudu kutunza uzuri wa wake zao wanasaidiwa na wenye visu.So madogolasi kaza buti kipaumbele kiwe hela totoz nzuri tuachie wakubwa zenu,wenu hawajazaliwa bado.
Nice&lovely week end