Kwanini baadhi ya 'secretary' wengi hawaolewi?

Na ndoa nyingi zimevurugika kama siyo kufa kabisa, sababu ya mke kuwa secretary, tena kuna wale wengine wanaitwa sijui ni cheo ama la, 'personal secretary'.

Kila alipo Boss yupo, mkoani, nje ya nchi, n.k n.k

Ndoa ina mengi mazuri na Magumu, ukimzuia mkeo kufanya kazi, mfungulie mtaji wa biashara.

Ahsante!
 
Kuna secretary mmoja alishawahi niambia kuwa "secretary ana midomo miwili (mdomo wa kawaida na papuchi mdomo wa pili". Hivyo ndio the way anavyo wasiliana na boss wake
 
Kuna tatizo sana la mausiano kwa ma secretay, (si wote) wengi huwa hawaolewi pamoja na wengi wao kuwa warembo haswa na hata walio katika ndoa zao nyingi huwa zina mgogoro wa hapa na pale sasa tatizo huwa liko wapi?

Ebu tupia mchango wako hapo unachojua.
Sasa mkuu wee mwenyewe usha sema "SECRET' tary !! Yaani ni "SIRI" huyu ni mfanya mambo kwa siri !! nivigumu kumuelewa kwa kuwa usiri ni vuguvugu lisilo na uhakika!!!
 
Back
Top Bottom