lavian
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 722
- 329
Nimekutana na mada nyingi wavulana wakilalamika kuhusu mapenzi kuwa wanaumizwa, nina miaka 22 na mie pia nishaumizwa nilijaribu sana kumrudisha lakini baadae nilijilaumu kwa kuwa niliona nilikuwa nimepagawa na nilijiona mjinga, baadae nikaachana na hiyo hali nikatuliza akili na kumsahau nae akaanza kunitafuta na kutaka aje kwangu ata mda wowote ule ila ndo hivyo niliamua kutokuwa nae tena.
Kuna makosa watu huyafanya wakiwa kwenye mahusiano mengi ni kutokana na nature tu na hizi ni sababu ambazo msichana huweza mfanya asikupende atakama uwe na nini.
-Kuto kujiamini,yani we kila kitu unajishtukia tu kitu kidogo unadhani unaibiwa na kuleta maneno ya kuamini kuwa unachukuliwa,hii humletea picha msichana kujua wewe hupendwi na wengine ndo maana umeganda kwake hutaki kutoka.
-Kuwa upoupo tu mda mwingi,hii ni kutokuwa bizze,kila mda akikupigia uko sehemu moja na hata huoneshi dalili za kufanya chochote,yaani upo tu umekaa au umelala au sehemu hiyohiyo kila siku kama vijiweni.
-Asiropoke kuwa unampenda sana kila siku,yaani kila siku ni wewe tu unaeanza kumtafuta kila siku ni wewe unaemwambia unampenda kila baada ya dakika mbili wewe tu ndo unaepiga simu aaahhhh! Utamboa bro.
- Kutokujihusisha na maisha,yaani wewe msichana ndo maisha yako,utaumia tu yaani ata mda wa marafiki huna?
- Kutokubadilika,yaani mapenzi yenu yanajirudiarudia kama vile ni timetable,kila siku mazingira yaleyale,ndo maana wanapenda wanapenda mamen wenye magari.
-Kutokuwa na mda nae,bora utenge mda wa kuwa nae na kuonesha upendo.
-Kuombaomba msamaha kwa kosa ambalo si lako aaahhh bro wewe ndo umekosea au yeye? Yaani huo ni ubw.ge.
-Usiongelee mambo ya watu ila haimaanishi usimsikilize akiwa anayaongea.
-Kutafutana,hii iwe average sio wewe ndo wa kumtafuta tu huo ni utumwa.
-Cha mwisho ni akikutana na mtu ambae kakuzidi kila kitu yaani hujamzidi chochotee lazima uumie tu.
Mwisho kabisa;
Msichana akisema muachane we achana nae tu ila kabla hujamwacha mpe haya maneno 'Dah! Najua imeshindikana mi kuwa na wewe nakupenda sana ila tafuta furaha ya moyo wako'basi na usimtafute tena muache kama alivyo huwezi kumzuia kwenda kama moyo wake hautaki kubaki.
Tahadhali:
Matusi na ngumi haziruhusiwi