BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
I greet you all JF members,
Kuna watu wanakaa katika mahusiano ya uchumba kwa miaka kibao bila kuishi maisha ya ndoa rasmi, kutokana na utafiti wangu(naruhusu ukosoaji) angalau mkiwa na uhusiano wa uchumba kwa kipindi cha kuanzia miezi sita mpaka mwisho isizidi miaka miwili angalau mnaweza kufunga ndoa.
Kwakuwa mtakuwa mmeshajuana na mmeshakuwa marafiki wazuri na mapenzi yanakuwa kwenye peak.
Sasa shida inatokea mkikaa mda mrefu zaidi ya huo mda mnakuwa mmezoeana mnoo,upendo/mapenzi yanapungua, mmoja baina yenu lazima atajisikia anapotezewa mda kwakuwa naamini sio kila mtu atakuwa anapenda kuendelea kusubiri ndoa miaka nenda miaka rudi mmoja atakuwa kikwazo.
Pia nimegundua mkijuana/mkizoeana sana kwa mtu mwingine asiye na busara inakuwa mwanzo wa kuleta dharau na mwishowe uchumba kuvurugika.
Binafsi nafikiria ni vema wachumba mkajadiliana mkaona mda muafaka wa kuishi katika uchumba na kipindi cha kufunga ndoa pindi mnapoanzisha uhusiano, epuka kujiingiza katika mahusiano yasiyokuwa na miguu wala kichwa.
Matokeo mwishoni unaanza kulalamikaxumechezewa/umepotezewa mda, wakati
hukuwa na mkakati wowote wa kuoa/kuolewa don't waste your time and resources on a useless person.
Karibu wenye uzoefu/mitizamo juu ya hili,ukizingatia kuwa ukipata mke/mume ni jambo jema na unapata kibali kwa Mungu.