Wanawake wapaka hina ndiyo habari ya mjini

Wanawake wapaka hina ndiyo habari ya mjini

chifusongea

Senior Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
164
Reaction score
154
Unakuta mtoto mweupee,hina hadi kwenye mapaja.Dushe lazima liinuke.Na hayo mauno.Respect Zenji,Tanga na Tabora.
 
Utawakuta mikutano ya ccm hao na wengine saiv wengi wamepewa uDC. Alivojichubua hadi anamabaka mabaka na shati lake la kijani. Kichwani 0 hao ndo wanatuharibia nchi
 
Unakuta mtoto mweupee,hina hadi kwenye mapaja.Dushe lazima liinuke.Na hayo mauno.Respect Zenji,Tanga na Tabora.
huyu jamaa akifa hazikwi na makaburi ya wanawake. wanaogope mzimu wake usiku usije ukaamka ukafata mizimu ya wanawake
 
Tabora? ???

Tanga yes, kuna wale wadada typical mashombe shombe hivi wanapenda saana kupaka paka na kujichora rangi sijui ndo hina...

Watam saana, I miss tanga
 
Kanda ya pwani kwa ujumla mambo haya yapo ila sidhani huko bara.
 
Back
Top Bottom