Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mapenzi uwanja mpana, Ya sasa tofauti na ya jana, Wakati ule mimi kijana, Vijana wakipendana, Huishia kuoana.[/SIZE] [SIZE="3"]Pesa haikuwa kitu cha maana, Starehe na mapenzi wala...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
habarini wanandugu Kuna wakati nilishawahi kuuliza dalili kuwa mwenzio si mwaminifu kwako ni zipi nikashindwapata jibu. Sasa nauliza specifically maana kuna mdogo wangu kaja analalamika kuwa...
0 Reactions
351 Replies
22K Views
umemuona kijan ahuyo kamwagiwa sulphuric acid....ndokawa hivo jamani tujiepushe........ Awais Akram was left severely disfigured after he was targeted in revenge for his liaison with...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11 Wazima nyieee, sio kwamba jpili nili wachomesha mahindi makusudii ni kwamba kama gundu tu, ki laptop chaliiiiii! Mungu si athumani...
17 Reactions
342 Replies
58K Views
Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia. Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa...
2 Reactions
103 Replies
14K Views
Habari Wapendwa wa Jf na wana MMU woote... Kwa mara nyingine nashare yale niliyo nayo katika mahusiano yetu haya ya kila siku ambayo tunafurahia na wakati mwingine kutuendesha. Ukiwa na mtu...
51 Reactions
191 Replies
19K Views
Read the Books, read the Bible & Quran, you'll see that Prostitution has been for ages, but why is it still regarded illegal?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Wasalamu wana MMU! Ningependa kushare nanyi hii mambo mana hata siielewi kabisa.Ni hivi kuna binti mmoja nilikuwa na uhusiano nae mwaka 2014 wote tukiwa chuo. Sasa baada ya sintofahamu nyingi...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
Mpo wakuu? Ninaye rafiki yangu. Baada ya kuwa nje ya nchi kwa miaka miwili amerudi nyumbani na kukuta mkewe wa ndoa akiwa na mimba ya miezi nane. Kumwuuliza mwenye mimba mkewe amemwambia kwamba...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Wasalaaaaam, Kama ilivyo ada vyuo msimu huu huwa unakuwa mgumu kwa Wanachuo wengi. Huu ndiyo muda wa kumaliza semester ya kwanza na wanafunzi wengi hujifanya wanawapenda sana Wahadhiri...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Ukitaka kupata maana halisi ya ule usemi usemao "ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu" basi jaribu kuchunguza wale wadada wote wazuri na Waliokua wanajifanya matawi au mastaa sana kitaa na skuli...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu marafiki naombeni ushauri wenu nina uhusiano na msichana kwa muda wa miaka 2 hivi karibuni amenisumbua sana kwani muda mwingi nampigia simu na hapokei pia baada ya kumpigia tena anakuwa...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari Wana JF,... Mi ni mshirika mpya ktk JF, baada ya kufurahishwa na kupendezewa sana na kile kinachojadiliwa humu ndani nimeamua kujiunga,.. Baaada ya kufanya utafiti kwa kina nimekuja gundua...
2 Reactions
82 Replies
8K Views
Hapa nazungumzia walioishi kwenye ndoa kuanzia miaka mitatu na kuendelea Mara ya mwisho kumnyonya mkeo ndimi zake ni lini kama mlivyokuwaga mnafanyaga kile kipindi cha mitongozo jaman maana me...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
WANAUME TUSOME TUJIONGEZE | WANAWAKE SOMENI MUWAKOSOE WANAPOVUNJA HAYA Kutengeneza mahusiano yenye AFYA njema Wanaume tufanye haya 1. Usijisahau katika mahusiano ukawa comfortable kiasi kwamba...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Hivi ni kweli ukubwa wa uume ndio unaweza kumridhisha mwanamke kimapenzi au kuna la ziada?
0 Reactions
50 Replies
6K Views
'I have been around,I have known a lot of woman's during my time,they gave me a lot of fun and a lot of grief ' Naongelea wadada wanaopokea hela za wanaume kwa kuomba au kupewa kama kifuta jasho...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Habarini za muda wana jukwaa pendwa la MMU, Binafsi nimekuwa najiuliza,hivi kuna siri gani katika mahusiano mapya? Maana huonekana kuwa na nguvu kubwa isiyo ya kawaida.Hakika kunakuwa ni kipindi...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Huyu Dem kapata wapi ujasiri Niambia kwamba ana Ngoma.....yaani H.I.V +.?
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom