Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini za muda wana jukwaa pendwa la MMU, Binafsi nimekuwa najiuliza,hivi kuna siri gani katika mahusiano mapya? Maana huonekana kuwa na nguvu kubwa isiyo ya kawaida.Hakika kunakuwa ni kipindi...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Huyu Dem kapata wapi ujasiri Niambia kwamba ana Ngoma.....yaani H.I.V +.?
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Yaani usiku hatujalala na hadi asubuhi hii ni Fujo na makelele.Jirani ambaye ni bosi wa T.R.A amemfuma live mkewe akigegedwa tena kitandani kwao na dereva wake.
1 Reactions
60 Replies
9K Views
Intro; Juzi mchana kutwa nilichepuka na Binti mmoja mwaka wa PILI Chuo fulani hivi huko morogoro. Kilichotokea; Jana mida ya saa 12:03 mchana akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa...
6 Reactions
98 Replies
12K Views
Wanawake ni mama zetu, dada zetu, shangazi zetu,wake zetu na wapenzi wetu lakini ni watu wabinafsi sana. Utakuta mwanamke anakuuliza kweli unanipenda, unajibu ndio nakupenda, anauliza ntaaminije...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mara nyingi utakuta mwanaume kujiingiza kwenye mahusiano na mwanamke aliyeachwa na mume wake. Hii tabia si nzuri na ni hatari sana. Kwanza kabla hujafanya hivo, chunguza sababu ya wao kuachana ni...
6 Reactions
36 Replies
9K Views
Jamani nimeuzika mno na sasa nahitaji kuwa single, ila ninachotaka ni sihitaji kuwa na hisia za mapenzi tena katika maisha yangu, mwanaume aliniuzi mambo mengi, sasa nimeshindwa kumsamehe...
1 Reactions
109 Replies
10K Views
Awe binti wa kiislam na asizidi umri wa miaka 27, aliyetayari aje PM kwa mawasiliano zaidi. Elimu yangu ya chuo kikuu, nafanya Kazi serikalini
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa,mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi,wengine muda sio mrefu.Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kumuoa mwanamke anayekupenda na kukujali au kumuoa mwanamke unayempenda katika maisha.
1 Reactions
31 Replies
5K Views
UNAYAWEKA MAWAZO YAKO SEHEMU GANI KATI YA SEHEMU HIZI MBILI? Unapofanya jambo lolote la kukufikisha kwenye mafanikio makubwa, maana yake hili ni jambo kubwa na ambalo huenda hujawahi kufanya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya uchunguzi wa kutosha asilimia kubwa ya wanaume waliopo kwenye ndoa wananyanyasika kimapenzi toka kwa wake zao na kujikuta wanarudia kupiga punyeto. Sababu mkubwa ikiwa ni...
2 Reactions
27 Replies
8K Views
Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata...
2 Reactions
327 Replies
30K Views
Guys habari zenu, Kuna binti mmoja ambaye anasoma kidato cha nne,anateseka sana baada ya kuingiwa na jini ambalo lina taka limuoe na amehangaika sana makanisani ila imeshindikana,nimeona...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Mwanamke mwenye maambukuzi ya UKIMWI karibu awe tayari kuishi maisha ya matumaini tuwasiliane kwa 0714560515 mimi nina miaka 48.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu habari zenu nafiri wazima wa afya. Leo ningependa tujifunze namna ya kuishi maisha yenye uhusianao. Maisha ya uhusiano ni ile hali ya maisha ya mtu kuhusiana na mfumo mzima wa mwili wake au...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Aliingia gerezani akiwa na miaka 14 kwa kusingiziwa kesi ya mauaji Mwanaume huyo chrstian sospeter Ambae ana siku 58 toka aachiwe kwa msamaha wa rais anasema hajawahi kufanya ngono tangu azaliwe...
4 Reactions
37 Replies
6K Views
What a man eats is what he becomes ... 1. Avocados 2. Strawberry 3. Chocolate - dark ones (only one mid size) 4. Mushroom - local ones 5. Cashewnuts and ground nuts ( a few of them + fresh milk)...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
A RELATIONSHIP IS ABOUT TWO PEOPLE AND NOT THE WHOLE WORLD. Have a nice weekend
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani naombeni ushauri mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi.
1 Reactions
110 Replies
12K Views
Back
Top Bottom