wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,291
Toka tupishane maneno na bi house, kuna mambo yana nitokea usiku naota na lazimishwa kumeza vitu fulani.
Sali kabla na baada ya kulala.....Toka tupishane maneno na bi house. kuna mambo yana nitokea usiku naota na lazimishwa kumeza vitu fulani .
Akili ndogo sanaduuuu kwani mulikosana nini?nakushauri tafuta juice inaitwa helto au Anjari dilute vizuri kabla ya kulala, then ukiota unalishwa nyama wewe kula tu tena ukishiba amka jipigie na ile juice yako ya helto. ..Hapo utakuwa burdani na rudi usingizini. .Hakika atakuwa amekupunguzia gharama za kutafuta chakula kesho yake. .Basi fanya kwa muda wa week moja, baada ya hapo hutaota tena mana watajiuliza mbona twamnenepesha tu huyu? watasikia wivu hawatakuja tena kukulisha. Ahsante
Khaaa kwi kwi teh teh!duuuu kwani mulikosana nini?nakushauri tafuta juice inaitwa helto au Anjari dilute vizuri kabla ya kulala, then ukiota unalishwa nyama wewe kula tu tena ukishiba amka jipigie na ile juice yako ya helto. ..Hapo utakuwa burdani na rudi usingizini. .Hakika atakuwa amekupunguzia gharama za kutafuta chakula kesho yake. .Basi fanya kwa muda wa week moja, baada ya hapo hutaota tena mana watajiuliza mbona twamnenepesha tu huyu? watasikia wivu hawatakuja tena kukulisha. Ahsante
asanteChakufanya hapo hama haraka sana watakuua kwa maradhi yasioeleweka, kama ni muislam tafuta mwalimu haraka.
sana.
yawezekana mkuu mwenye nyingiAkili ndogo sana