Wanaume pitieni hapa: Signs that you will never marry

47pro

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
1,204
332
SIGNS THAT YOU WILL NEVER MARRY

1.If you can make a perfctly round chapati and you are a man think twice.

2.If you light a Jiko on weekend and cook your own githeri,hahaha sioni bibi hapo dugu yangu.

3.Kama uko na kitambi na haukunywi pombe hakuna bibi atakupikia hiyo food yote.

4.If you are a man and when a lady comes to your house you still cook for her after her first visit trust you have no intention for marrying soon bro.. .

5.Kama unaenjoy kuosha vyombo and you are a man, Woooooooiiii i see no hope in your marital status.

6.Kama unaoga kila siku think twice. Mwanaume ni kuoga twice a week.
 
hahaha ila kweli aisee washing cooking utensils with your beads looks like a good shame hah
 
Kuna wajerumani fulani nilikutana nao Kilimahewa aisee hawaogi kama week mbili hivi ,wanajipaka sijui nini hili lilinishangaza
 
SIGNS THAT YOU WILL NEVER
MARRY
.
1.If you can make a perfctly
round chapati
and you are a man think twice
.
2.If you light a Jiko on weekend
and cook
your own githeri,hahaha sioni bibi hapo dugu
yangu.
.
3.Kama uko na kitambi na
haukunywi pombe
hakuna bibi atakupikia hiyo food
yote..
.
4.If you are a man and when a
lady comes to
your house you still cook for her
after her
first visit trust you have no
intention for
marrying soon bro..
.
5. Kama unaenjoy kuosha vyombo
and you
are a man ... ,... Woooooooiiii
i see no hope in your marital status...
.
6.Kama unaoga kila siku think
twice.
Mwanaume ni kuoga twice a week.
ha hahahaaa..no.6 imenikumbusha kitu.
 
No 6. Inamaanisha... mwanaume anayeoga kila siku hupiga nyeto kila siku...
 
Duh....mkuu hiyo [HASHTAG]#No6[/HASHTAG] unamaanisha Kenya maji hakuna hadi ukae na uchafu mwilini,Wakeii mko na tabu sana joo,venye umeandika hapo naona kama uko na tongotongo kwa macho.
 
Duh....mkuu hiyo [HASHTAG]#No6[/HASHTAG] unamaanisha Kenya maji hakuna hadi ukae na uchafu mwilini,Wakeii mko na tabu sana joo,venye umeandika hapo naona kama uko na tongotongo kwa macho.
Smart911 had answered...
 
Back
Top Bottom