Shemeji yangu aniponza na kujikuta nikimsaliti fundi wetu wa magari

Yimakatso

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
6,963
9,307
Habari wanaJf,

Kuna shemeji yangu ambaye nimezaa na mdogo wake tumekuwa na mahusiano ya siri ya kimapenzi tangu 2014.

Mume wake huwa namuita kaka maana amenizidi umri na pia kwakuwa ameoa dada wa demu wangu.

Huyu mumewe ni fundi magari hivyo huwa tunamwita kutengeneza kidaladala chetu kinapoharibika na huwa natumia mwanya huo kwenda kula uroda na wife wake.

Jumapili iliyopita nilimpigia simu aje kutengeneza gari(mimi naishi Kinyerezi nayeye anaishi Jet. Akaja nikamwambia akague gari ili nimwachie hela kwa ajili ya kununua vifaa.Alifanya hvyo akanipa hesabu ya spares nikamwachia hela na nikamsisitiza kwamba akimaliza kutengeneza afanye test ya gari ikibidi hadi Mbezi.

Lengo langu likiwa akianza kutengeneza gari na ule muda wa kutest niwahi fasta nyumbani kwake kula uroda shemeji yangu.Wakati anafuata spare Ilala mi nikamuaga kwamba naenda Tegeta hivyo tutawasiliana akimaliza matengenezo.

Mwanaume nikaenda zangu Jet ambapo nilimkuta shemeji kajiandaa kwa mechi mle ndani kwake.Tukafanya yetu huku tukiamini jamaa yupo bize na gari hivyo akimaliza lazma atanipigia kunijulisha.Nami kila mara nikawa nampigia kumuulizia alipofikia,bahati mbaya mara ya mwisho kumpigia hakupokea simu nikaamini atakuwa anatest gari maeneo ya Kinyerezi alipokuwa akiitengeneza.

Lahaula kumbe jamaa aliamua kutest gari kuja nyumbani kwake Jet bahati mbaya au nzuri nilishapiga bao zangu mbili tukakaa na shemeji sebuleni huku nimevaa singlend.

Ghafla jamaa kaingia ndani katukuta tumekaa sebuleni na wife wake akasalimia akanipa feedback na kunieleza kaja na gari ipo nje.

Kwakweli nilifedheheka sana kwakuwa nilimuaga jamaa naenda Tegeta nasasa kanikuta kwake.Nilimpa hela yake ya ufundi tena kwa kumzidishia amount ili kuficha aibu na jamaa alipokea lakini hakuwa sawa kama nilivyomzoea.

Sasa ndugu zangu nafsi inanisuta kwa kumuibia jamaa mke wake ukizingatia ndio fundi wetu na huwa anatusaidia kwa mengi kiufundi.

Nikiwasiliana na shemeji yangu anadai jamaa hajamuuliza chochote ila kwa upande wangu sijaridhika kabisa nahisi jamaa alihisi mchezo mbaya hivyo kukaa kimya tu.

Wadau nitajuaje kama jamaa amegundua mchezo mbaya maana nikimpigia simu kuhusu gari anapokea na kunipa maelekezo kama kawaida.
 
Kuna wengine wanajifanya kama wajinga vile, kumbe unatungiwa sheria.

Vipi ulitumia mpira au ulienda kavu?
 
Kuna wengine wanajifanya kama wajinga vile, kumbe unatungiwa sheria.

Vipi ulitumia mpira au ulienda kavu?
Katika maisha yangu sijawahi tumia mpira na huwa naangalia na mademu wa kutafuna dry.
 
Kwahiyoo mkuu umekujaa kutubu huku jf..Kumekua kanisani au....
Dawa ni moja tu katubu thambi yako kwa mungu wako then kwa mshikajii pia....kirohoo safii..
Tatizo mshkaji sijamuelewa kama kagundua ama la.
 
Katika maisha yangu sijawahi tumia mpira na huwa naangalia na mademu wa kutafuna dry.
Teleza mwana.

Mara moja moja kujilipua sio hatari.

Unateleza tu mtu wangu.

Haya maisha tu
 
Hata kama tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvuvila hili hapana kwa kweli
 
Njia pekee ya ww kuondokana na hiyo dhambi ni kutubu kwa jamaa yako kwanza halafu ndio utubu kwa MUNGU wako.
 
Katika maisha yangu sijawahi tumia mpira na huwa naangalia na mademu wa kutafuna dry.
Duniani kuna viumbe wa ajabu,eti naangalia mademu wa kutafuna dry!!...Yaani mpaka leo bado watu mnaendelea kuwa wajinga hivi?? Elimu yote hii??
Wewe unaangalia mademu wa kutafuna dry maana una kipimio machoni sawa...vipi kuhusu mabwana wa hao unaowagonga? Nao wanachagua?
Vipi kama wakiwa washawambukiza hao mademu?.
Yaani ubaradhuli umekujaa mpaka mishipa yako ya aibu imekata.Unatembea na dada wa hawara yako tena nyumbani kwake huku mumewe umemzingua kwa kumpa vikazi vyako uchwara.
Ila kumbuka la haula haitangulii na mshahara wa dhambi ni umauti.
Bado una nafasi ya kujirudi midhali ungali hai.
 
1457107588574.jpg
 
usirudie tena kutembea na mkewe na kaa mbali na familia yake.. mi nina imani amejua kuwa unatembea na mkewe, ila hakutaka kufanya vurugu wala kuongea ukweli hata kugomba kwasababu kuu mbili;
1) kwa mujibu wa maelezo yako ni kuwa umekuwa ukimpa riziki za kutosha hivyo hakutaka kuleta ugomvi maana angekosa riziki yake kama fundi magari kwani ungempa fundi mwingine dili hizo
2) hakutaka kuchafua mahusiano yenu kama ndugu maana kwa mujibu wa maelezo yako ni kuwa mna undugu kwa namna moja au nyingine.
 
Back
Top Bottom