Habari zenu nahitaji mwanamke wa kuoa sasa, haijalishi umri wake

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
Mm naitwa moody kabwe nina umri wa miaka 28

Nahitaji mke wa kuo ila mimi kwa sasa sina kazi niliachishwa kazi kipindi cha kampeni za uchaguzi na bos wangu yeye ni ccm baadala ya mimi kutekeleza majukumu yangu ya kichama mimi ni kiongozi wa chama ni katibu wa vijana wa kata ya kigogo

Nina cheo kingine ndani ya chama naomba nsikitaje kiusalama

Mashariti
Anipende kweli sio akipata watoto anikimbie

Atambue tu kwa sasa sina kazi hivyo awe mvumilivu sije nitesa kwakua sina kazi

Awe tayari kuniruhusu kufanya mambo yangu ya harakati za jamii sehemu mbali mbali

Kwa maelezo zaidi kama mtu yuko tayari tuanze maisha na yeye mwanamke huyo ya 2016
Mawasiliano yangu 068320492
 
Evelyn rudia kusoma utaelewa
Mimi ni chadema na chadema ni moja ya chama kinachounda ukawa plz usinijime tena ukawa kisawasawa
Kweli una shida na mke naona umekimbia kuchange avatar fasta....ngoja Niseme na mdogo angu ntakupa mrejesho
 
sasa huyo mwanamke utamlisha nn mkuu km huna kazi?
Ndiyo maana nikasema awe na uwezo

Maana sihitaji awe tegemezi kwangu zaidi mimi hela ninayopata inanitosha mimi

Ila pia mimi ni mtoto wa kiuume kumlisha mwanamke sishindwi kwasababu sina kazi

Nafaiti kwa mambo yangu mengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom