lavian
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 722
- 329
Ndugu zanguni kwanza kabisa habari zenu,
Pili inabidi sisi kama wavulana tusitumie hela zetu vibaya kuwahonga mabinti kwani hawa watu watakushusha thamani pindi utakapofulia.
Ni bora ujenge maisha yako kwanza alafu ndo baadae utapata utaempenda au ukipata unaempenda mwambie akuvumilie ujenge maisha.
Lakini ukipata mtu alafu akakusumbuasumbua tu utahonga na utampenda zaidi alafu baadae utaumizwa tu.
Ovious wasichana watachukia lkn kwako wewe ambae unatengeneza maisha
Jitaidi kuwa mwanaume wa ndoto ya kila mschana