Mkuu wa kanisa Anglikana agundua Kachomekewa Baba

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Mkuu wa kanisa Anglikana agundua babaake sio Welby

160409071356_archbishop_of_canterbury_christmas_640x360_getty_nocredit.jpg
Image copyrightGetty
Image captionKiongozi wa kanisa Anglikana duniani Justin Welby
Kiongozi mkuu wa Kanisa la Kianglikana duniani, ametangaza kuwa babaake mzazi ambaye alikuwa anamfahamu sio yeye.

Askofu huyo wa Cantebury, Justin Welby, amesema alifahamu mwezi uliopita kuwa babake mzazi alikuwa balozi wa Uingereza Sir Anthony Montague Browne, ambaye alifariki miaka mitatu iliyopita na wakati mmoja alihudumu kama msaidizi wa Sir Winston Churchil.

Askofu huyo alikuwa akidhani Gavin Welby ambaye alifariki mwaka wa sabini na saba alikwa babake.

Justin Welby ametaja habari hizo kama za kushangaza na alifanya majaribio ya DNA baada ya kupata habari hizo kutoka kwa gazeti moja nchini Uingereza.

Matokeo yake yalifananishwa na yale yaliyopatikana katika nywele za babake.
 
mmmh haya ya viongozi wa kanisa haya kuhusu utasutwa!!!!! sasa huu ushuhuda, swali, maoni, au nini?????
 
mh!hongera yake yeye kaujua ukweli,tupo wengi tu ambao tumebambikiziwa wazazi lakini tunashindwa kuthibitisha kutokana na urasimu uliopo.
 
Jamani muweni makini na michepuko maana wakati huu wa dna watoto watakuja kuwaumbua wazazi wao.

Mkuu wa kanisa Anglikana agundua babaake sio Welby

160409071356_archbishop_of_canterbury_christmas_640x360_getty_nocredit.jpg
Image copyrightGetty
Image captionKiongozi wa kanisa Anglikana duniani Justin Welby
Kiongozi mkuu wa Kanisa la Kianglikana duniani, ametangaza kuwa babaake mzazi ambaye alikuwa anamfahamu sio yeye.

Askofu huyo wa Cantebury, Justin Welby, amesema alifahamu mwezi uliopita kuwa babake mzazi alikuwa balozi wa Uingereza Sir Anthony Montague Browne, ambaye alifariki miaka mitatu iliyopita na wakati mmoja alihudumu kama msaidizi wa Sir Winston Churchil.

Askofu huyo alikuwa akidhani Gavin Welby ambaye alifariki mwaka wa sabini na saba alikwa babake.

Justin Welby ametaja habari hizo kama za kushangaza na alifanya majaribio ya DNA baada ya kupata habari hizo kutoka kwa gazeti moja nchini Uingereza.

Matokeo yake yalifananishwa na yale yaliyopatikana katika nywele za babake.
 
Ukimchunguza sana Bata utashindwa kumla! Uchi una falsafa kubwa sana japo bado haijajulikana kwa kiwango sahihi!
 
Back
Top Bottom