pauli jm
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 391
- 278
Heshima kwenu enyi wenye kuheshimiwa,
Nina omba mnisaidie kufumbua hili fumbo; ni kwanini hawa wakina mama wazuri wazuri hupenda kusema vijana wa kiume wananuka maziwa?
Nimekuwa nikilisikia sana hili neno bila ya kujua maana yake. Kwa mfano, kuna mama mmoja alifumaniwa na kijana mwenye umri wa miaka ishirini (20) na huyo mama alikuwa na umri wa miaka hamsini na tano (55).
Yule mama akatuhumiwa kuwa ni yeye ndiye aliemtongoza kijana, yule mama akajitetea hivi; "mimi siwezi kumtongoza huyu mtoto anaenuka maziwa'', kwani mimi nina miaka ishirini (20) sijazaa kwahiyo mimi ninanukia na huyu kijana ananuka maziwa, ni yeye ndie alieniona nikinukia na akanitamani ndipo akanitongoza".
Kuna mifano mingi niliyowahi kuisikia na amini na wewe msomaji wangu ushaisikia. Tusaidiane ili kusudi tukijua nini kifanyacho tunuke maziwa. Kama ni kweli tunanuka tukitibu ili tusinuke tena.