sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
Habari za leo wadau?
=Kuna usemi usemao mwanamke ni kiumbe dhaifu kwakuwa mwanaume aliumbwa kwa udongo ila mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume.
=Swali langu linakuja hivi ni kwanini siku ya ndoa kanisani mwanamke anapaswa awe upande wa kushoto wa mwanaume? Labda kuna sehemu zingine inakuwa hivyo ila mara nyingi naona kanisani siku ya ndoa.
=According to Income Statement, Expenses & Loss are shown on Left side while Incomes & Profits are shown on Right side. Samahani kwa kutumia hiyo lugha sina tafsiri sahihi sana. Kwamba katika ndoa mwanamke ni gharama/hasara kwa mwanaume na mwanaume ni pato/faida kwa mwanamke.
Je hiyo theory inaweza ikawa sababu ya mwanamke kuwa upande wa kushoto wa mwanaume siku ya ndoa?