Shangazi anataka nimwoe mwanae(Binamu Yangu) Nifanyeje???!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shangazi anataka nimwoe mwanae(Binamu Yangu) Nifanyeje???!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eng. Smasher, Dec 17, 2010.

 1. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mambo vipi familia nzima ya JF!!! Leo nina furaha kwanza coz of mwonekano mpya!
  Story ipo hivi,Kuna Best yangu wa karibu kaniomba nimpe msaada wa mawazo nikaona si vibaya nikiwashriksha Great Thinkers!

  Rafiki yangu amelelewa na wajomba zake coz Mama yake hayupo duniani na alikuwa hamjui Baba,siku za hivi karibuni alikutana na Dingi yake na kutambulishwa kwa ndugu wengine upande wa Baba ili wajuane mmojawapo alikuwa ni Aunt yake aliyekuwa na Binti anayesoma form4!

  Jamaa akachukua contact za binamu na kuwa wanachat,binamu akatoa ahadi ya kumtembelea jamaa hostel(anasoma chuo),baada ya muda wakaanzisha mahusiano ya kimapenzi na binamu,wakati wapo mwanzo wa mahusiano Binti akaugua ugonjwa wa ajabu akawa anapandwa na mapepo wakati huo Aunt yupo kwenye business zake,home yupo Binamu na house gal! Ikabidi jamaa awe anaenda kumpa huduma zote coz sumtymz Binti alikuwa anazima akiwa katoka kuoga inabidi jamaa amvalishe nguo zote ingawa alikuwa hajawahi kula tunda la kati!

  Siku zmepita Binti kapewa tiba na maombi ingawa hayupo safi kivile binti kaanzisha maada kwa Mama yake anampenda sana rafiki yangu(Binamu) na asiporuhusiwa kuolewa nae watajutia maamuzi atakayochukua,Mama alifikri ni ugonjwa kumbe binti alimaanisha na akataka kujirusha mtoni!!

  Vikao vimekaa ndugu wa Baba yake jamaa wameafiki na Wa Mama yake jamaa wamegoma!!
  Pls naombeni mawazo yenu afanye nini na Binti yupo more than serious na anasema wameshadu nae once??!!!
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah paragraf kakangu
  stor nzur bt mtihan kusoma
  ongeza font na uweke paragraf na kanuni zote za IMLA uzizingatie....
   
 3. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapo vipi maana kwa kulalamika mtoto na hilo pozi la kukonyeza balaa!! Pls nipe comment zako!! Hapo nimefupisha story!

   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  engineer toka lini akajua kuweka paragraph..hahaaaa
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,246
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  Eng. Smasher-----Shangazi anataka nimwoe mwanae(Binamu Yangu) Nifanyeje???!!!!

  no comments
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Dec 17, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Afadhali nimefurahi sana umebadili avatar duuhhh. Nimefurahi sana maana ilikuwa inaniboa ile mbaya. Nitarudi kuchangia
   
 7. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimetafuta mtaalamu wa kiswahili kanielekeza!! Pls maoni yenu

   
 8. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa kunitel jana ukweli na karibu sana!!

   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Dec 17, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Na leo nakutel tena kwenye thread yako weka hata nukta na koma basi ujue mie nimeshindwa kumalizia kusoma ndo maana nimekosa comment??? Imeniumiza kweli kichwa
   
 10. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Hiyo ngumu sana banaa, haiwezekani hata kiduchu
   
 11. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Mkuu kuna njia nyingi za kulitazama jambo hili. From religious point of view kuna conflicting points about ndoa za mabinamu. Katika bible, kuna vifungu vingi vinavyoonyesha ndoa za mabinamu. Mfano ni ndoa ya Yakobo na Leah/ Raheli, ndoa ya Isaka na Rebeka etc. Ila katika ukristo wa leo ndoa za aina hii haziruhusiwi. Mfano mzuri ni wakatoliki ambao hawaruhusu kufunga ndoa kwa ndugu wa aina yoyote.

  Kwa upande wa waislam, ndoa za mabinamu zinaruhusiwa na hii ni very common tradition katika nchi za kiarabu.

  Kwa upande wa kibayolojia, ndoa za ndugu haziruhusiwi kabisa kwani zinasababisha tatizo linaitwa inbreeding(i.e., reproduction from the mating of two genetically related parents, which can increase the chances of offspring being affected by recessive or deleterious traits). Tatizo hili husababisha decreased fitness kwa watu wa jamii husikana na hii kwa kitaalamu inaitwa 'inbreeding depression'.
   
 12. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,430
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  kibaiolojia si sahihi jaribu ku-google utaona
   
 13. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Una Mambo mtoto wewe nani kakwambia mimi ni mwana FASIHI andishi? Mimi ni Engineer na Kiswahili nilipata C ili niende A-level.
  Pls can u b my ticha??

   
 14. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanks kaka kwa kunidadavulia ntafikisha ujumbe!

   
 15. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sivizuri nakama wanakushinikiza nipe no ya binamu nitakutatulia tatizo utakuwa free
   
 16. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2010
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mwambie asilazimishwe yeye ndiye mwenye maamuzi na kabla ajaamua ni vema kufukiri mara mbili, anampenda??? na kama anampenda wataweza kuishi kama mume na mke?? maandiko (kutokana na dini yake) yanasemaje kuhusu hilo???
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  M0BONA sioni tatizo mpwa? kapewa mke na yeye hataki, ala, mzima kweli huyo? mbona hao sio ndugu zako kabisa? ok kama yuko vizuri chukua, ntakusaidia baadhi ya majukumu
   
 18. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mwambie akamate kichwa hichwa faster Ila wasiwasi wangu huko kuanguka isije kuwa ugonjwa wa kudumu!
   
 19. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  I don't see the problem, yeye alishaonyesha hisia za mapenzi kwa huyo binti sasa sioni ajabu ya kuhalalisha huo uhusiano wao. Upande wa mama inabidi wakubali kuwa mapenzi ni popote na kijana ni mtu mzima kuchukua maamuzi
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Waowane tu......hamna tatizo hapo...........unless aseme yeye alikuwa anania ya kumchezea tu huyo mtoto tokea mwanzo na hana mapenzi nae.
   
Loading...