olonyor engai
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 173
- 49
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 32,ninaishi Dar,ni mtumishi wa serikali,natafuta mwanamke wa kuishi nae,awe na elimu ya chuo,awe na shughuli maalum,mwaminifu,umri kuanzia miaka 23-27,rangi awe mweusi/maji ya kunde!kwa mwanamke aliyepo serious na mwenye sifa nilizozitaja hapo juu tuwasiliane pm!