Hizi ni nchi za Afrika zinazoongoza kuwa na wanawake wazuri?

explicity

JF-Expert Member
Oct 9, 2015
207
140
Afrika ni miongoni mwa mabara saba duniani yenye wanawake wazuri na wenye mvuto.
fc5ff1c769a2bb94bfd9e0947d8c22de.jpg


Uzuri wa wanawake wengi kutoka bara la Afrika unatokana na rangi zao nyeusi za asili, japo wapo wengi wanatumia vipodozi ili kujichubua ili wapate rangi nyeupe na baadaye madawa hayo huwaletea madhara kwenye miili yao.
Hizi ni nchi za Afrika zenye wanawake wazuri zaidi?

5:Angola
b00cd5aea5c36b12e5c22b3cf596b45e.jpg

Nchi ya Angola ni kama Brazil ya Afrika, hili linakuja kutokana na uzuri walionao wanawake kutoka Angola kufanana zaidi na wale wa Brazil. Wanawake wa Angola wamebarikiwa kuwa na maumbo makubwa yaliyojengeka kama wabrazil lakini tofauti yao wakiwa asilimia 100 rangi ya ngozi zao ni halisia huku wale wa Brazil wengi wakiwa wanaongoza kwa kufanya plastic surgery.

4:Cape verde island
acd2bd31ab92415bf7710e378b340063.jpg

Viwango vya Fifa vilivyotoka mwaka huu, vinaonyesha kuwa nchi ya Cape Verde inaongoza kwa Afrika. Hilo halijaishia hapo pia nchi ya Cape Verde imebarikiwa kuwa na wanawake wazuri.
Raia wa nchi hiyo wana mchanganyiko wa bara la Ulaya na Afrika kwa pamoja, ukikutana na mwanamke kutoka Cape Verde hutoacha kugeuka na kumuangalia muda wote kutokana na uzuri alio nao pamoja na urefu waliobarikiwa kama twiga anapokuwa mbugani.

3:Ethiopia
0835e824610499cbbc3912a7b0177456.jpg

Ethiopia ni nchi ambayo ni nyumba ya wanawake wazuri Afrika. Wapo waliosema mchanganyiko walionao Yemen na Ethiopia ndiyo unawafanya wanawake wa nchi hiyo kuwa wazuri na wenye mvuto zaidi. Tabasamu la wanawake wa Ethiopia linamvutia hata asiyekuwa na njaa akikaribishwa kula lazima aende.

2:Somalia
28bcb02f3961144e4e7c644d56460ebb.jpg

Moja kati ya nchi zenye madhara makubwa ya vita ni nchi ya Somalia. Tangu vita ianze mwaka 1992 mpaka leo Somalia imekuwa ni nchi kame sana.
Japo kumekuwepo kwa vita kwa muda wote huo lakini Somalia ni miongoni mwa nchi zilizobarikiwa kuwa na wanawake wazuri kwenye bara la Afrika. Rangi yao zao za chocolate na ujasiri wao unawafanya wawe ni miongoni mwa wanawake wazuri. Vita haiwezi kuharibu uzuri wa wanawake wa Somalia.

1:Rwanda
d9de12b30c3d12dfff98ccb8a5cc6919.jpg

Nchi ya Rwanda ni miongoni mwa nchi zenye wanawake wazuri Afrika. Rangi yao na maumbo yao yameweza kuyavutia wanaume kibao kutamani kuwa na mwanamke wa Rwanda. Ukimuona Ange Kagame utaweza ni malaika, lakini ukweli unabaki kuwa anatoka Rwanda.
Japo wapo wachache kwenye taifa lao na uzuri wao bado wameonekana kuwa ni wapambanaji wasioweza kukata tamaa kwa haraka. Wanawake wa Rwanda ni kama mapple ya peponi yaliyopo Afrika.
Nchi zingine zenye wanawake wazuri kwa Afrika ni pamoja na; Afrika Kusini, Nigeria, Ghana, Kenya na Tanzania.

CREDIT BONGO5.COM
 
Rwanda sio kweli kabisa. Nadhani ulitakiwa useme Watutsi ndo wazuri. Ange Kagame ni mtutsi lakini ikiwa wanatengeneza 14% ya raia wote, huwezi sema Wanyarwanda ni Warembo. Rudi tena darasani usome
 
Tofauti ndogo ambayo huwa naiona ni kwamba kwa Tanzania mchanganyiko wa makabila kumefanya kuwa na mchanganyiko ambao huwafanya wengi kutofikia hitimisho ila kiukweli Tanzania ina wanawake wazuri sana ukitembea kwenye mikoa utaona
 
Waafrika ndo mnayowaza haya tu..ngono,ngono, Donald Trump hakukosea kua ngozi nyeusi ni mafundi sana kwenye ngono kuliko kitu chochote duniani...wakati wao wanawaza kwenda mwezini na mars... nyie mnalinganisha waremboo hatwariii.
 
Haha kweli kwa sasa kila nchi inawatoto wazuri alafu watoto kuanzia mwaka 1995 heee waka mwaaa
 
Waafrika ndo mnayowaza haya tu..ngono,ngono, Donald Trump hakukosea kua ngozi nyeusi ni mafundi sana kwenye ngono kuliko kitu chochote duniani...wakati wao wanawaza kwenda mwezini na mars... nyie mnalinganisha waremboo hatwariii.
Trump hakusema hayo maneno. Acheni uongo .
 
Rwanda sio kweli kabisa. Nadhani ulitakiwa useme Watutsi ndo wazuri. Ange Kagame ni mtutsi lakini ikiwa wanatengeneza 14% ya raia wote, huwezi sema Wanyarwanda ni Warembo. Rudi tena darasani usome
Halafu sidhani kama watutsi wanawafikia wambulu(wairaqw), warangi na wasandawe wa Tanzania kwa urembo.
 
Back
Top Bottom