Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanajf?samahani naomba kufahamishwa mpangilio mzima wa jinsi ya kuchumbia mwanamke na kwenye barua ya uchumba inatakiwa iweje?wakati wa kupeleka barua lazima apeleke ndugu au hata rafiki wa...
0 Reactions
9 Replies
15K Views
wakuu natumai hamjambo....jamani nimezua mambo kwa mwandani wangu ....huyu ni mchumba wangu sasa nimezoea kumwambia naomba mchezo kwa sauti ya upole ...bila hiyana hulembua macho na kunipiga kofi...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Bibi harusi mmoja ajulikanae kama dorothy Msuya amezua gumzo la kufungia mwaka 2015 kwa wakazi wa Moshi na vitongoji vyake baada ya kutokomea mazingira yasiyojulikana saa chache kabla ya harusi...
0 Reactions
194 Replies
30K Views
Bi harusi apewa talaka siku ya harusi.Picha niaba ya gazeti la Daily Mirror nchini Uingereza Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hapa nazungumzia wenzangu na mimi hasa mabinti hawa wanatabia ya kuharakia mambo! Huwaga wanajihisi wamechelewa kisa kuona wenzao wapo ndani ya ndoa wanasahau kuwa ndoa mengi wanaanza kutupa kazi...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Mademu wengine wana lawama, Wakiskia Boyfriend wake amecheat atapiga kelele atamsuta "umekosa nini mwanaume huridhiki,utamaliza nyama bucha ileile,kwani mi sikupi,si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi...
14 Reactions
97 Replies
14K Views
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25 nimepata mpenzi kwakweli tunapendana sana na tumepanga mengi mno juu ya penzi letu, tatizo linakuja hiyu mwenzangu ni muathirika wa VVU sasa nashindwa kuamua...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Ni mara ya 3 sasa kila nikichepuka mnara hausimami,tena unalala doro wakati mpira uko kwenye 18. Jana mchepuko umenisafiria toka Dar kwa gharama zake,dudu limegoma kung'ata na kujikosha imebidi...
15 Reactions
68 Replies
8K Views
Habari gani wadau, Natumaini weekend iko poa na inaishia vizuri na tunajiandaa kwa mchaka mchaka wa wiki nzima. Hebu tupeane mawazo zaidi. Kwenye hili jambo. Maana limekuwa gumzo kwa maisha ya...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Sio mbaya kuuliza ndugu zangu mnaoruhusiwa kuoa wanawake wanne kwanini na wao wasirusiwe kuolewa na wanaume wanne. Tufike wakati tuwe na usawa kidogo kama nyumbani tumefikia kuleta vyakula pamoja...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Nilikutana na mwanamke akiwa kama mpangaji mwenzangu, niliishi kwa muda wa miezi minne,ndipo nikaamua kumtongoza huyo mwanamke.Mwanzo wa mahusiano alijitahidi sana kuonyesha upendo wa hali ya juu...
4 Reactions
41 Replies
9K Views
Worth sharing! Ndani ya verossa, unaweza kudhani ni gari ya kawaida, ila ndio humo alipopoteza bikira yake, utu na heshima yake. Ndani ya verossa alitegemea kupata lifti ya kumpeleka nyumbani...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Unakutana na mwanamke anakwambia tangu aachane na bwanake miaka 4 iliyopita hajawahi kuwa na mahusiano!Hivi kweli kuna mwanamke anaweza kukaa 4years bila kusukutuliwa kweli? Nakwanini nyie...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
KWA NINI WANAUME HULALA BAADA YA TENDO LA NDOA? Utafiti wa jarida la Sayansi ya Mishipa ya Fahamu na Tabia uliochapishwa mwaka 2012 umebaini kuwa, dawa za usingizi hufanya kazi sawa na tendo la...
3 Reactions
102 Replies
27K Views
Sijui kama mtanielewa ila nataka nieleweke hata kwa kutumia akili za mwisho mlizo zaliwa nazo. Mimi ni mtu mzima of course najua mema na mabaya na kwa upeo wangu leo hii ninatamani kujiweka huru...
19 Reactions
602 Replies
48K Views
Ilikuwa miaka kumi na moja iliyopita.Nilifapata mtoto na dada mmoja sasa sikuwa na mipango ya kuoana nae, nae pia alinipotezea sababu dada zake walikuwa na uwezo mkubwa na wakamshauri kuwa mimi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu ni binti msomi sana anayetokewa na lindi la mawazo ya kifo cha baba yake kipenzi ambapo imekua ngumu sana kumsahau kiasi kwamba inamuathiri sana kisaikolojia na hali hiyo ikimrudia mara kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mambo vipi familia nzima ya JF!!! Leo nina furaha kwanza coz of mwonekano mpya! Story ipo hivi,Kuna Best yangu wa karibu kaniomba nimpe msaada wa mawazo nikaona si vibaya nikiwashriksha Great...
1 Reactions
25 Replies
10K Views
Salam wakuu, Leo nimemkumbuka mwalimu wangu wa somo la siasa enzi hizo kabla ya kubadilishwa na kuitwa uraia. Alikuwa ananiambia 'Doa' tamaduni mbili zikikutanishwa moja yenye nguvu huimeza...
8 Reactions
94 Replies
11K Views
Salam a friend need advice..plz ..anasema he married a Woman whom already have kids and he love both of them...the kids and their mum but the problem is these kids hawana adabu kabisa...kama.kuna...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Back
Top Bottom