The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,002
- 19,468
Habari.
For married couples, mlifanyaje hadi mkaoa, zilikuja hisia za kuoa au mlishinikizwa na familia au umri au mlifuata tu utamaduni kua mwanaume lazima uoe kipindi flani katika maisha yako.
Nimeuliza hivyo maana kwa kweli sijawahi kupata hisia au mawazo ya kuoa, sijawahi hata kuwaza kitu kinaitwa kuoa, ndugu na jamaa unakuta wananishauri kwamba inabidi uoe uachana na wanawake wa mtaani.
Tatizo ni kwamba sijawahi kupata hayo mawazo ya kuoa wala shinikizo la ndugu na jamaa halijawahi kujishawishi.
Je nyie mlifanyaje hadi kuoa?.