Somebody uuuh..... With Kasie....

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
22,041
39,987
Hayaa kumekucha tenaa. ....... asiye na mwana aeleke jiwe hehee heee

Kwa mtindo huu... 2016 iwe na miezi 36 looh ndo iingie 2017 hahahahhaa yaani ni raha juu ya utamu chungu zote zinatemwa ptuuu.

As usual Kasie is nasty and crazy enjoying the sea breeze while cruising on a super luxury boat with somebody...... Mr. Man....

Maswali yanaanza sasa.... yuko wapi huyu kibibi? hapa bongo kuna boti gani
la luxury?. ... hehehheheee

Kila leo namshukuru maulana kwa siku iendayo juu yangu na kumuomba sana anipe na aniongezee siku zangu za kuishi duniani maana..... nikitafakari huwa naishia kusema nilichelewa wapii.
Katika kumshukuru maulana huwa namshukuru na kumheshimu sana aliyenisaidia kupata kibarua hiki kipya ndo kimezaa hayaa ya sasa yaani ni raha ndani ya roho. Maana nafanya kazi huku naishi yaani nainjoi maisha, saa nyingine huwa nawaza tuu hivi hii nafasi ingenijia tangu niko 30 yrs kamili ingekuwaje...... maana hapo ndo utambuzi unaanza.
Ila kila jambo na majira na wakati wake hata kwa wakati huu bado nafurahia maisha vile ego esteem from within me reveal to the outside haaa am happy and enjoying.

Iko hivi..... baada ya likizo fupi ya pasaka nilirudi kazini na nikapangiwa kwenda nchi flani (.....) kwa wiki kadhaa na ndo niko kwenye hiyo nchi. Nimeiweka kapuni kwa sababu za kiintelejinsia..... Baada ya siku tatu tangu niwasili hotelini... I met this man.... hahahahaa he was on vacation alone ..........
Mambo mengi yame pita na tumeyazungumza kati yangu na Mr. Man na sitayasema hapa. Ila we click so well.... almost everything hadi dancing.... type of music kind of food hahahahahaha acha tuu hadi yale masihara na kutaniana yaani kwa mara ya kwanza tulikaa masaa 4 bila kujua kama tumekaa masaa 4 tukiwa tunaongea na kucheka na kufahamiana.
This Mr. Man is wealth enough, amekodisha boti a luxury boat, kuna wafanyakazi 3 na mimi na yeye tuu Hahahahaaa.
Acha nicheke cheke kila dakika dalili za nyege hizi na Mr. Man yuko well formed.... body structure.... akizungusha mikono yake kunikumbatia utasema niko kwenye jacuzzi yaani natuliaaaa tuliii kifuani pake hehehehehehee.

Kabla ya kukubaliana kuja kwenye hii boat aliniwekea wimbo wa Whitney akaniambia ukinikubalia maneno ya huu wimbo nitakuzawadia na wimbo wenyewe ulikuwa huu....

I wanna dance with somebody... I wanna be right here with somebody... everyday with somebody.... With somebody who loves me..iiigh. ...

Kiufupi he wanted to be alone with me for two days somewhere someplace and here we are....

He gave me a ring... not engagement... not wedding ring rather a bond ring.... we have a bond and we click so well.

I love this Mr. Man .... pamoja na mapungufu yangu... He knows how to treat me without upset me.

Heheheheee haya sasa....maswali yote mliyonayo ntayajibu ulizaaa na najua swali la kwanza litakuwa kuhusu...... J. Uliza tuu.

Kasie with somebody..... Mr. Man.

Mmuah Mr. Man!!!

Kasie.
 
Mhh! !
 
Attachments

  • f749d407b155cc76cb2cf4621c57edbe.jpg
    f749d407b155cc76cb2cf4621c57edbe.jpg
    10.5 KB · Views: 66

hiyo signature.....mnhhhhhhh
 
Heheheheee haya sasa....maswali yote mliyonayo ntayajibu ulizaaa na najua swali la kwanza litakuwa kuhusu...... J. Uliza tuu.

AHDHDGDGDGFYFTRFRGKDJDFJDFHDFGDFBFDBFSGFGHFGHDFGSGSDGWET4534634844YUHJSBDSVFYEFWGEVDVCXXARAFATQWTEYURURUHTBTURYRGFGFGFJFKGLGKGIGIGJGJFHDGDFRDDR3443434232322727DVDVCHDBCNV
 
Aaaaah!!!!!!! Kumbe badala ya kufanyakazi niliyokutuma umeishia kutanua na Mr. Man?

Siku 2 sasa Kampuni hatujapata ripoti ya kazi unazozifanya huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom