Kwa nini kuwa na mtu unayehisi atachepuka

socket

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
305
431
Habari wadau..
Am 25yrs ila namshukuru Mungu amenipa uwezo
Kuna hii kitu inanifanya nihisi wanaume tuko wachache na mda unavyoenda basi tutapungua kabisa kama si kuisha Ila wanawake wataendelea kuwepo..
Hivi unakuta Kaka anadate na mtu anajua kabisa sio hadhi yake ila anakomaa maana anavihela vyake sijui kakusanya kwa mda gani maskin mpaka huruma..
Wadada wako hivi unakuta kuna mtu anampenda hata kama ni maskini na hili usibishe so kinachotea ukijiingiza as mchepuko utalizwa tuu kwa kujifanya unazo tena unaweza usiambulie hata kissing zaidi ya kupigwa tarehe baada ya kuhonga bila akili..
Kiujumla nataka niwashauri wanaume wenzangu kuwa na misimamo dunia ya leo ni ngumu sana cha msingi kama unauwezo OA MKE PATA WATOTO NA WALEE maana kuna usemi unasema PONDA MALI KUFA KWAJA, basi angalia uzee wako usiwe wa shida..
Pia sio kweli kwamba mabinti hawaeleweki cha msingi ni kumuonesha njia ya maisha kwa maneno na matendo kwa wale wanachuo basi tafuta wadada wa kawaida wanaojielewa usiangalie umbile lake ili kuringishia wengine..
Kweli kuna mda nakosa hela lakini unakuta nimefanyia mambo ya msingi lakini huyu Mpenzi wangu na boom lake la 544000 unakuta ananiwezesha sana Japo mshahara wangu kwa month ni mara mbili ya huo.
WANAWAKE MUNGU AENDELEE KUWAPA HEKIMA NA NIMEAMINI KUWA KTK KILA MAFANIKIO YA MWANAUME BASI KUNA MWANAMKE NYUMA YAKE..
 
Mwanamke ana upendo wa kweli ukiweza kumwaminisha kuwa unampenda kweli na akaamini hivyo utafurahi mwenyewe, uwe na kitu au usiwe nacho.
 
Asante kwa kulitambua hilo ... Ila sasahivi Ni generalisation ndio ipo wanawake ote tunafanana na ninyi wanaume mnafanana matendo na kufikiri kwenu japo sio kweli ila Ni vigumu kumuaminisha mtu watu waaminifu wapo ... Japo naamini wapo wengi ila kazi unampatia wapi
 
Back
Top Bottom