omunatta
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 236
- 139
Mkeo anaamka asubuhi anapiga mishe zake fasta kisha anakuuaga anaenda saloon au kwenye kikao cha kikundi, anaoga kisha anafungua kabati anavuta chupi ya kwanza anavaa kisha anaivua, anachukua nyingine anaingalia na kutupa pembeni, kisha anavaa nyingine, wewe umejilaza tu kitandani unachart, hata hujiulizi inakuaje kwenda saloon au kwenye kikao mtu achague chupi..!! Kama mbovu si azitupe.na anunue mpya, ukiambiwa wewe ni fala unaanza kulia lia eti mimi mtoto wa mjini nimezaliwa aghakan, matako yako