Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi jameni likizo za mapenzi zinasaidia? Kuna mtu nataka nimpe likizo...mana nahisi tunapoelekea sipo...kwa waliojaribu..vp mlifanikiwa kurudisha malove-dove?
4 Reactions
55 Replies
7K Views
Habari zenu JF, Ukweli mimi ni muislamu mwenye miaka 30 nimeoa mke mwaka 2007 na niko na watoto 2. Shida toka naoa nilikuwa na maisha mabovu kiasi ila nilimuambia mke wangu siku zikinitembelea...
2 Reactions
151 Replies
19K Views
Kuachwa kusikupe stress, haijalishi umeachwa mara ngapi, jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha. Kila anayeingia maishani mwako ana syllabus mkononi mwake, every topic anayokufundisha...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Wadau miezi kadhaa iliyopita nilionana na binti mmoja ambaye nilitokea kumuelewa, niliomba mawasiliano na akanipa! Kwa muda huo sikuweza kujua kwa haraka kama ni muislam Hivyo niliendelea...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu.....natumaini sote tu wazima na baadhi waliopungukiwa uzima Mungu atawasaidia........ Kila mmoja wetu anafahamu ni jinsi gani ndoa zilivyojaa changamoto na...
13 Reactions
83 Replies
10K Views
Kuna tukio limetokea hapa mtaani nafikiri linaweza tokea kokote pale na hasa Kwa mwenendo Wa jamii tunayoishi sasa: Tukio lipo hivi...kuna jamaa hapa alikuwa anaishi na binti lakini siyo...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Je tatizo ni nini? Sababu ni ipi hasa ya kumdharau Mwanamke kiasi hiki?? Hili utaliona kila mahali kwa mfano Mwanamke akibakwa hapa TanZania siku zote jamii hugawanyika, Wanaume wengi huona kwamba...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Naileta kwenu kama nilivyoisikia. Inasemekana kwamba Wanaume ambao huwa na uwezo wa kuhimili " kutokumkojoza " Mpenzi wake pale anapokaribia kufanya hivyo wawapo Mahabani ( wakimaanisha kuwa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za jioni wapendwa, Kuna inshu inanitatiza kuhusu mzazi mwenzangu. Ni kwamba nilizaa nae mtoto miaka 13 iliyopita alafu tukaachana baada ya yeye na familia yake kudai hawezi kuwa na mimi...
6 Reactions
96 Replies
10K Views
Kuna jamaa mmoja alienda porini kukata mkaa siku moja yupo juu ya mti upanga ukadodokea mtoni jamaa akaanza kulia ghafla akatokea malaika na kumuuliza" Malaika" ni nini kina kuliza? Jamaa" upanga...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Najua nyie wote ni wazima licha ya kuwa wengi wenu mnaugulia majibu yenu kimya kimya, leo nimekuja na wazo hili, hivi kama kuna pete za uchumba, pete za ndoa, kwanini tusiweke utaratibu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kudos hi there!!! Wakuu kuna huyu mpenzi tulijuana kipindi akiwa amekonda, kiasi kwamba angetosha kwenye viganja vyangu. Ila uvaaji wake siku hizi lazima ajipake poda. Na kwa sasa amekuwa mnono...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Baada ya taarifa kuenea mitandaoni kuwa mkuu wa kanisa letu anatuhumiwa kubeba mrembo wa watu, nimeona kuna emergency ya kuandika juu ya hii mada. Lengo langu sio ku promote uchepukaji, but no, my...
5 Reactions
66 Replies
13K Views
Hili tukio ni la miaka minane iliyopita lakini nimelikumbuka sana na linanifanya niwaone hawa viumbe kuwa ni tofauti na tunavyowafikiria. Nilikuwa nimepanga nyumba fulani maeneo ya Malawi(Yombo)...
22 Reactions
46 Replies
8K Views
Hi JamiiForums users, Naamini mko wengi humu mnaondoa stress kwa kusoma mawazo ya watu na kujisahaulisha kidogo kupungua kwa kipato tulichokizoea kwa siku maofisini. Wacha niende kwenye mada...
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Vilio vya wasichana wengi wenye umri wa kati (hasa kuanzia 24 – 30) ni kuhusu kuachwa baada ya kukaa na wapenzi kwa muda mrefu wakiwa na ahadi ya kuolewa. Wenyewe wanasema wanapotezewa muda. Hapa...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari za usiku, Mimi ni mwanaume miaka yangu 36, naishi Dar es Salaam ukweli nina familia ya watoto watatu. Mmoja alizaliwa kabla sijaoa,na ana miaka 13 anamaliza darasa la saba mwaka huu huko...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari ya kazi wakuu!, Mimi ni kijana wa miaka 31 na nimehitimu degree ya uhasibu mwaka 2011. Mwaka huo huo nlipata kazi kwenye kampuni binafsi na maisha yakawa yanaenda vema tu mpaka mwaka 2014...
4 Reactions
68 Replies
9K Views
Back
Top Bottom