Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kila ugomvi kidogo tu mbio kwa mashoga zake kuni expose. Nashindwa kabisa kumuelewa huyu binti.
1 Reactions
35 Replies
4K Views
MAPENZI KUPENDANA,PESA PELEKA BANK.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Na uimeze nzima nzima. ............ hivii wewe.... wewe hapo ndio na unanijua wewe hapo...... ulichokifanya ni uba sha. Ruhusu walau akili yako kwa wakati mmoja isambaze chakula kiwafae wahitaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari humu MMU, Miezi michache iliyopita nilileta thread nikiomba ushauri nifanyeje ili kuliepuka tatizo, namshukuru MUNGU nililimaliza salama binti alikuja kwa mama yangu ambako ndo...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu! Kumekuwa na mijadala anuai inayogusia suala la FURAHA, AMANI na UIMARA wa ndoa za wadau. Huu ni mjadala muhimu sana kwani ndoa ikiwa imekidhi vigezo hivi basi inazaa matunda...
1 Reactions
177 Replies
29K Views
Katika pitapita yangu nimekutana na watoto wadogo ambao mama zao ni waTZ but baba wachina. Hii ni dhahiri kuwa huko mbeleni tutajakuwa na machotara wengi wa kichina kutokana na idadi ya wachina...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Imekaaje hii mtu ameoa wake watatu lakin bado analala kwa mchepuko huku akijua kuwa wake zake hawatafahamu kwasababu mwenye zamu atadhan labda amelala kwa mke mwingine na cku iliyo fuata akaenda...
2 Reactions
78 Replies
7K Views
Mi ni me,nipo kigoma kikazi,natafuta marafiki wa kike tu ambao nitafuta nabadilishana nao mawazo,na mungu akipenda nahusiano,umri wowote,elimu yoyote,kazi yoyote ana watoto au hana.huwezi jua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sisi tuliooa wanawake wa bara waliosoma kazi tunayo.. Unajua wanawake wa dizaini hiyo hata wakiolewa tendo la ndoa wanalichukulia poa sana,sasa kuna wale wanaonyimwa unyumba kwa wiki,au miezi...
19 Reactions
203 Replies
34K Views
Bwana asifiwe! Leo nimeona niilete hii habari iliyonishangaza kama si kustaajabisha ya dada jirani yangu.Huyu ana mume na mmewe ni mpole na ni muajiriwa sirikalini, jamaa kakamatika yani akirudi...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Natafuta mke wa kuanzia miaka 26-29
0 Reactions
5 Replies
1K Views
miaka ya hivi karibuni kumekuwa na vuguvugu kubwa sana la kutaka mapenzi ya jinsia moja especially kwa wanaume/wanaume yatambuliwe kisheria,na jambo hili limekuwa likivaliwa njuga na nchi za ulaya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu, Ndugu zangu wanajamii wenzangu, nimesimama hapa mbele yenu kuzungumzia tabia moja ambayo meshamili na kujengeka humu ndani. Tabia hiyo imenifanya kukosa raha na wakati mwingine...
4 Reactions
293 Replies
23K Views
sifa awe na elimu ya kuanzia ngazi ya cheti na kwendelea, kabila lolote, na awe na tabia nzuri. kwa alie tayari...0787 470737
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni sahihi kwamba Moja ya kitu kinacholeta umaskin uzee shida na migogoro ni mapenzi kuachana kulumbana stress mpaka mtu anakosa nguvu kiutendaji kunahaja kwel ya kuwepo maspecialist wa hii inshu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau ishuvipi lakini.....Daaa wacha niulize kaswali kangu hapa.......Then hili swali nadhani linatuzunguka jamii wote kwaujumla pia nimeona kama desturi fulani au ndio mila au ndio...
1 Reactions
101 Replies
24K Views
Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! 1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli. 4.Wanaoga...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Ni nini kinachomfanya baba mtu mzima na familia nyumbani kutelekeza familia na kutumikia nyumba ndogo??? baba anadhubutu kuwalaza watoto njaa, huku akimjengea nyumba kicheche.. ni mapenzi au...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Iwe kwa sababu yoyote itakayokujia kichwani, unahisi utafanya nini endapo utalazimika kuachana na si kutengana tu kwa muda na mpenzi wako mnayependana haswa lakini inatokea tu kunakuwa hakuna plan...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Nachoka sana na message message kila wakati ni message tu hana muda wa kufanya kitu ni message tu simu kila saa ni mlio wa triiiii!!! message imeingia hata muda wa kufanya jambo lolote hana ni...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Back
Top Bottom