Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda huu wanajami forum. Leo nimeona nije na hili suali ili mnisaidie majibu maana labda mimi nimeelewa vbaya. Kiumkweli nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu sasa kuhusiana na mapenzi na...
1 Reactions
59 Replies
9K Views
Wanaume wenzangu i hope mshaexperience iki kitu kuwa wadada wapole ni watundu zaidi kwenye mapenzi kuliko wale mapepe
6 Reactions
54 Replies
11K Views
Sina uhakika kwa kuwa sijafanya uchunguzi ndio maana nimelileta kwa wanajamvi mnisaidie dhana kuwa wanawake wanene ni mahiri kwenye mapishi.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mume na mtoto wote wamefariki, japo kwa mujibu wa habari yenyewe hakuwa na lengo la kumuua mtoto, hakujua kuwa mtoto nae yupo ndani. Ila lakini, ni kuhitirafiana kupi kunaweza ku-justify unyama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta mwenza (mke) umri miaka 25 - 35 mwenye kujielewa , elimu kidato cha nne na kuendelea,dini yoyote. umri wangu ni miaka 35 elimu digrii kazi ni mjasiliamali naishi Dar kwa aliye tayari...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Jiran yetu aliishi na mke wake kwa muda mrefu bila kupata watoto baadae ikagundulika mwanamke hana uwezo wa kushika ujauzito akamwambia mke wake kuwa anahitaji kuoa mke wa pili Mkewe alikubari...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Nionavyo mimi na niwachukuliavyo mimi ni kuwa wanawake ni wazuri usoni wakitabasamu ila rohoni wakatili sana. Anayepinga atueleze kama kuna mwanamke asiyetabasamu ila wapo wanaume wasiotabasamu...
5 Reactions
75 Replies
8K Views
Habari wandugu. Kuna ishara nyingi ambazo mtu yeyote awe ndugu, unayemdai au mchumba/mke/mume akikuonyesha ujue mahusiano ndio yameisha. Hauhitaji hata kuuliza kwa nini. Mfano ukiwa unampigia...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba kufahamu, humu ndani kuna wanawake pure kutoka Bara Hindi? Yuropa na America. Kwa kifupi tu napenda dating na Europeans, imay start my assignment here. Can we please know each other, pm...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamaaaani haya mapenzi kwanini yasiwe na formula basi tukajua kama nikwenda kuyasomea kuzama darasani ikajulikana moja. Mpaka sasa natamani mapenzi ya kweli bora yangekuwa yanauzwa supermarket...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Huwa najiuliza wanawake ni nini huwavutia zaidi kwa men ni pesa, akili? u handsome, utanashati, au ni nini zaidi.
3 Reactions
146 Replies
18K Views
Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga alikuwa humu Tanzania hivi majuzi. Kati ya mambo waliyojadili na mwenyeji wake Rais Magufuli ni jinsi mmea wa MIRAA {Mirungi} unaweza kuanza tena...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi mwalimu
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Hawa wanafunzi hawa, shetan ananiita kabisa na miaka 30 ileeeee , ebu nipen mbinu waungwana Mimi ni mwalim nafundisha shule frani hivi na tokea nmeanza kufundisha sijamaliza hata mwaka Kuna...
3 Reactions
169 Replies
14K Views
Hii imetokea baada ya mwanamke kugundua kuwa jamaa anatoka na mwanamke mwingine kwa kumficha Baada ya demu kugundua akawa anamsaka jamaa bila mafanikio,hapa na hapa akakutana na jamaa viwanja...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
From a young age, girls are surrounded by images and words that tell them they should focus on their physical beauty, especially through advertisements and commercials. Many of these ads are for...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Jamani Snura, Snuu Sexy mchaga mwenzangu tunapanda wote meridian mi nashuka marangu mtoni yeye anaenda kwao rombo mashati sijui mkuu...
13 Reactions
219 Replies
71K Views
Kwa kweli mimi sielewi hiki ni kitu gani jamani baba ambaka mtoto wake wa miaka tisa na kumlazimisha kulamba shahawa zake. nikajiuliza hii ni nini? mwisho wa dunia au mwisho wa binadamu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hii nimeipata kwenye tovuti ya habari, mwanamke ameolewa na mume ambaye hachoki na hatosheki, wanafanya tendo la ndoa mara nane kwa siku. Mke anasema mumewe ni mzuri sana kitandani na kweli huwa...
5 Reactions
141 Replies
26K Views
Back
Top Bottom