Habari za usiku,
Mimi ni mwanaume miaka yangu 36, naishi Dar es Salaam ukweli nina familia ya watoto watatu. Mmoja alizaliwa kabla sijaoa,na ana miaka 13 anamaliza darasa la saba mwaka huu huko Iringa.
Kwa namna ya ninavyo ishi na huyu mke sio rahisi kuishi na mtoto wa kufikia na mama yake sina uhusiano naye na yuko Mbeya, bahati mbaya ameathirika.Napenda aje kuishi hapa Dsm kwani nataka elimu ya secondary asomee hapa hapa, anahitaji malezi na upendo kama watoto wengine.
Hivyo natafuta mwanamke mwenye mtoto mmoja ili tujenge uhusiano wa kudumu na ilitusaidiane malezi ya hao watoto (wake na wangu).Napenda mwanamke wa kikristo na wa kabila lolote kuanzia miaka 25 na kuendelea, awe na kazi au shughuli ya kumuingizia kipato.Nimekuwa mkweli na muwazi, kama mwenye nia yupo tuwasiliane.