Mpenzi wangu amebadilika ghafla, nifanyeje?

47pro

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
1,204
332
Kudos hi there!!!

Wakuu kuna huyu mpenzi tulijuana kipindi akiwa amekonda, kiasi kwamba angetosha kwenye viganja vyangu. Ila uvaaji wake siku hizi lazima ajipake poda. Na kwa sasa amekuwa mnono as if anatumia injection zile ambazo humfanya mtu anenepe.

The issue ni kwamba every day anazidi kuwa mzuri tu, mpaka hata yeye amekuwa anajishangaa.

Hebu niambieni nifanyeje wakuu. I know she went injection tho she refused to tell me the truth!!
 
Atakua a

Atakua anakunywa maji mengi na chips mayai....mshauri aache kunywa maji mengi..
 
Kudos hi there!!!

Wakuu kuna huyu mpenzi tulijuana kipindi akiwa amekonda, kiasi kwamba angetosha kwenye viganja vyangu. Ila uvaaji wake siku hizi lazima ajipake poda. Na kwa sasa amekuwa mnono as if anatumia injection zile ambazo humfanya mtu anenepe.

The issue ni kwamba every day anazidi kuwa mzuri tu, mpaka hata yeye amekuwa anajishangaa.

Hebu niambieni nifanyeje wakuu. I know she went injection tho she refused to tell me the truth!!
Dawa ya moto ni moto. Akikubadilikia na wewe mbadilikie.
 
Kwani wewe ulitakaje aweje?hakuna binadamu mwembamba as long anapata kila kitu na moyo unaridhika.
 
Una uhakika gani kama ametumia sindano ili hali yeye mwenyewe kakataa...Yamkini amepata mtu anaye tuliza moyo wake kwa sasa ndiyo siri ya yeye kuwa mzuri na mnene...We endelea kushupasha akili yako kwenye matumizi ya madawa ushindwe kufikiria nje ya box hadi aje na ujauzito ndiyo utajua..
 
Heading yako na maelezo ni vitu viwili tofauti nilitegemea unazungumzia kubadilika kwa tabia kumbe umbile. Hata hivyo ngoja waje waliobobea katika mabadiliko ya maumbile ya mwili
 
Kudos hi there!!!

Wakuu kuna huyu mpenzi tulijuana kipindi akiwa amekonda, kiasi kwamba angetosha kwenye viganja vyangu. Ila uvaaji wake siku hizi lazima ajipake poda. Na kwa sasa amekuwa mnono as if anatumia injection zile ambazo humfanya mtu anenepe.

The issue ni kwamba every day anazidi kuwa mzuri tu, mpaka hata yeye amekuwa anajishangaa.

Hebu niambieni nifanyeje wakuu. I know she went injection tho she refused to tell me the truth!!
Tafuta mwingine..
 
Back
Top Bottom